Genocide suspect kutoka US arudishwa Rwanda

Genocide suspect kutoka US arudishwa Rwanda

USA imekosea sana. Justice will not be done to him. Si ajabu akauawa kwa sumu taratibu. Wangelimpeleka the Hague haki ingelitendeka, siyo nchi za kiafrika
 
Kwa serikali ya kitusi ya Rwanda kila msomi muhutu atatafutwa popote alipo akajibu tuhuma za mauaji ya kimbari Rwanda. Lengo hasa ni kuhakikisha hakuna msomi muhutu atakayebaki uraiani kuwaongoza wahutu kujikomboa kutoka makucha ya inkotanyi.
 
Acha ujinga wewe huyo hajakamatwa kwa sababu ni muhutu ni ushenzi wake aliofanya ndio umemfikisha hapo,na issue ya kupewa lawyer ni jambo la kawaida sana na linafanyika nchi nyingi tuu

hata hapa kwetu, huduma hyo IPO???? sema ni bureaucracy tu na uchache wa gvt lawyers
 
RwAnda nci ya kisenge

Wa.hutu wanatabia ya kitakatifu km wa bongo

Kusahau
Kasemehe kizembe
Kulidhika
Kupuuza
Woga
Na ujinga

Wanakandamizwaa na.kuonewa then.wanahuzunik kimoyo moya..smtym.bora vita tuu kuliko.kuonekana.jinga.na mbululazzz

Ila bongo n.too much ..tunaupinzan uchwaraa na raia waoga

Tafadhali Sana usitupandishie mbegu ya makabila hapa Tanzania wewe kama mmezoea kuoneana kwa makabila ni huko kwenu. Waoga unataka tufanyeje tuuwane? Punguani wewe.
 
USA imekosea sana. Justice will not be done to him. Si ajabu akauawa kwa sumu taratibu. Wangelimpeleka the Hague haki ingelitendeka, siyo nchi za kiafrika
Wamarekani hawafanyi vitu kwa Bahati mbaya na si wanafiki kwa mtu wasiye na maslahi nae.ni wazi wamejiridhisha kwamba jamaa alihusika na mauaji lasivyo wasingemuachia.
 
Kwa serikali ya kitusi ya Rwanda kila msomi muhutu atatafutwa popote alipo akajibu tuhuma za mauaji ya kimbari Rwanda. Lengo hasa ni kuhakikisha hakuna msomi muhutu atakayebaki uraiani kuwaongoza wahutu kujikomboa kutoka makucha ya inkotanyi.
OMG! do you really believe so? or just spreading your usual shit kinda thing? get serious boy...
 
You remind me of king Solomon and two mothers...dream on interahamwe

If you ask me, "Interahamwe" is a word associated with Kagame and everybody else who deliberately refuse to accept that Rwanda genocide involved both Tutsi's and Hutu's. Don't live in denial little interahamwe, the truth will embarrass you before you die in shame.
 
Back
Top Bottom