esitena tetena
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 1,747
- 1,082
hueleweki unamzungumzia nani na post ipi. soma tena thread urudi kuchangia achana na porojo. au anzisha uzi mwingine wa fao la kujitoa.Nawashangaa sana watu wanaomhusudu mtu ambaye ni kinyonga.
Arudishe kwanza hela zetu alizochota nssf.
Na aachane na hela zetu, Fao la kujitoa halimhusu na asikaribu kufanya lobbying za kikongolese hapa.
Hivi yeye akiambiwa ubunge ukiisha asubiri mpaka afikishe 60yrs ataweza.
kwa hiyo Tanesco hawadaiwi Tshs. bilioni 320? au umelenga nini?Zitto ana Personal conflict of interest na IPTL na kina Seth, kudhulumiana kwake na kina Ruge asifanye kuwa ni mzozo wa Taifa!
Yeye Mwenyewe anamulikwa na umeme wa IPTL nyumban kwake lakin bado anajifanya haoni kazi ya IPTL.
Tanesco inanunua umeme kwa Wazabuni wengi sana na anajua kabisa IPTL ndio mzabuni anaeuza umeme wake Tanesco kwa bei nafuu zaidi lakin kwa kuwa IPTL hawataki kutoa rushwa kwa kina Zitto sasa kageuza ugomvi wa Kimsalahi kuwa ugomvi wa kitaifa!
1994 wakati IPTL wanaingia nchini Zitto alikuwa kwao Kigoma anatoa Funza vidoleni Leo anajifanya anaijua sana IPTL, mbona Wapinzani wenzie kina Mbowe, Lowassa na Mbatia wamepiga Kimya au anataka aonekane yeye ni Mzalendo kuliko Wanasiasa wote!
Kihelehele chake huko Chadema ndio kilimfukuzisha lakini bado hajajifunza kitu!
Apunguze kwanza Viporo mezani, majina ya Uswiss kachoma Moto orodha baada ya wadau kufika bei!
Wanatakiwa kulipa 732 bilionskwa hiyo Tanesco hawadaiwi Tshs. bilioni 320? au umelenga nini?
Kwahiyo kama anamulikiwa na umeme wa IPTL asiseme madudu yaliyomo?inaonekana wewe pia una chuki binafsi na Genius ZittoZitto ana Personal conflict of interest na IPTL na kina Seth, kudhulumiana kwake na kina Ruge asifanye kuwa ni mzozo wa Taifa!
Yeye Mwenyewe anamulikwa na umeme wa IPTL nyumban kwake lakin bado anajifanya haoni kazi ya IPTL.
Tanesco inanunua umeme kwa Wazabuni wengi sana na anajua kabisa IPTL ndio mzabuni anaeuza umeme wake Tanesco kwa bei nafuu zaidi lakin kwa kuwa IPTL hawataki kutoa rushwa kwa kina Zitto sasa kageuza ugomvi wa Kimsalahi kuwa ugomvi wa kitaifa!
1994 wakati IPTL wanaingia nchini Zitto alikuwa kwao Kigoma anatoa Funza vidoleni Leo anajifanya anaijua sana IPTL, mbona Wapinzani wenzie kina Mbowe, Lowassa na Mbatia wamepiga Kimya au anataka aonekane yeye ni Mzalendo kuliko Wanasiasa wote!
Kihelehele chake huko Chadema ndio kilimfukuzisha lakini bado hajajifunza kitu!
Apunguze kwanza Viporo mezani, majina ya Uswiss kachoma Moto orodha baada ya wadau kufika bei!
he must be congenitally feeble minded.Barbaric comment
thanks.Wanatakiwa kulipa 732 bilions
Kuchelewa kuingia Dar esalaam ni hoja ya mtu kuwa kipofu?,kama IPTL waligawa fedha walizoiba kwa watu wengi mpaka viongozi wa kiroho,walishindwa kupata cha kumpa zitto?Zitto ana Personal conflict of interest na IPTL na kina Seth, kudhulumiana kwake na kina Ruge asifanye kuwa ni mzozo wa Taifa!
Yeye Mwenyewe anamulikwa na umeme wa IPTL nyumban kwake lakin bado anajifanya haoni kazi ya IPTL.
Tanesco inanunua umeme kwa Wazabuni wengi sana na anajua kabisa IPTL ndio mzabuni anaeuza umeme wake Tanesco kwa bei nafuu zaidi lakin kwa kuwa IPTL hawataki kutoa rushwa kwa kina Zitto sasa kageuza ugomvi wa Kimsalahi kuwa ugomvi wa kitaifa!
1994 wakati IPTL wanaingia nchini Zitto alikuwa kwao Kigoma anatoa Funza vidoleni Leo anajifanya anaijua sana IPTL, mbona Wapinzani wenzie kina Mbowe, Lowassa na Mbatia wamepiga Kimya au anataka aonekane yeye ni Mzalendo kuliko Wanasiasa wote!
Kihelehele chake huko Chadema ndio kilimfukuzisha lakini bado hajajifunza kitu!
Apunguze kwanza Viporo mezani, majina ya Uswiss kachoma Moto orodha baada ya wadau kufika bei!
Swala sio Zitto, swala ni IPTL na deni la taifa. Kwani MTU kusema ukweli nivibaya ? Au mpaka mbowe na wenzake ulowataja waseme ndio uone kwamba nisuala la uzalendo?Zitto ana Personal conflict of interest na IPTL na kina Seth, kudhulumiana kwake na kina Ruge asifanye kuwa ni mzozo wa Taifa!
Yeye Mwenyewe anamulikwa na umeme wa IPTL nyumban kwake lakin bado anajifanya haoni kazi ya IPTL.
Tanesco inanunua umeme kwa Wazabuni wengi sana na anajua kabisa IPTL ndio mzabuni anaeuza umeme wake Tanesco kwa bei nafuu zaidi lakin kwa kuwa IPTL hawataki kutoa rushwa kwa kina Zitto sasa kageuza ugomvi wa Kimsalahi kuwa ugomvi wa kitaifa!
1994 wakati IPTL wanaingia nchini Zitto alikuwa kwao Kigoma anatoa Funza vidoleni Leo anajifanya anaijua sana IPTL, mbona Wapinzani wenzie kina Mbowe, Lowassa na Mbatia wamepiga Kimya au anataka aonekane yeye ni Mzalendo kuliko Wanasiasa wote!
Kihelehele chake huko Chadema ndio kilimfukuzisha lakini bado hajajifunza kitu!
Apunguze kwanza Viporo mezani, majina ya Uswiss kachoma Moto orodha baada ya wadau kufika bei!
Amefanya jambo jema,ambalo ni kulalamika na kutoa solution,he's right.Mheshimiwa zitto ungetoa solution nini cha kuanza kufanya. Naona kama hujaenda moja kwa moja nini rais afanye kwa kuwa wewe unajua. Kama ishu ni kufukuza kazi mtu haisababishi tusilipe kwa mtazamo wako.
This is completel taaarabuZitto ana Personal conflict of interest na IPTL na kina Seth, kudhulumiana kwake na kina Ruge asifanye kuwa ni mzozo wa Taifa!
Yeye Mwenyewe anamulikwa na umeme wa IPTL nyumban kwake lakin bado anajifanya haoni kazi ya IPTL.
Tanesco inanunua umeme kwa Wazabuni wengi sana na anajua kabisa IPTL ndio mzabuni anaeuza umeme wake Tanesco kwa bei nafuu zaidi lakin kwa kuwa IPTL hawataki kutoa rushwa kwa kina Zitto sasa kageuza ugomvi wa Kimsalahi kuwa ugomvi wa kitaifa!
1994 wakati IPTL wanaingia nchini Zitto alikuwa kwao Kigoma anatoa Funza vidoleni Leo anajifanya anaijua sana IPTL, mbona Wapinzani wenzie kina Mbowe, Lowassa na Mbatia wamepiga Kimya au anataka aonekane yeye ni Mzalendo kuliko Wanasiasa wote!
Kihelehele chake huko Chadema ndio kilimfukuzisha lakini bado hajajifunza kitu!
Apunguze kwanza Viporo mezani, majina ya Uswiss kachoma Moto orodha baada ya wadau kufika bei!
Tatizo lako ubinafsi umekuganda mpaka huyaoni maslahi ya taifa, tunapigania deni tunalobebeshwa na mafisadi watanzania wenzetu wewe unang'ang'ania deni la mtu mmoja alilokopa au kuchukua NSSF si watajuana wenyewe?Nawashangaa sana watu wanaomhusudu mtu ambaye ni kinyonga.
Arudishe kwanza hela zetu alizochota nssf.
Na aachane na hela zetu, Fao la kujitoa halimhusu na asikaribu kufanya lobbying za kikongolese hapa.
Hivi yeye akiambiwa ubunge ukiisha asubiri mpaka afikishe 60yrs ataweza.
Hebu muweke zitto pembeni,Zitto ana Personal conflict of interest na IPTL na kina Seth, kudhulumiana kwake na kina Ruge asifanye kuwa ni mzozo wa Taifa!
Yeye Mwenyewe anamulikwa na umeme wa IPTL nyumban kwake lakin bado anajifanya haoni kazi ya IPTL.
Tanesco inanunua umeme kwa Wazabuni wengi sana na anajua kabisa IPTL ndio mzabuni anaeuza umeme wake Tanesco kwa bei nafuu zaidi lakin kwa kuwa IPTL hawataki kutoa rushwa kwa kina Zitto sasa kageuza ugomvi wa Kimsalahi kuwa ugomvi wa kitaifa!
1994 wakati IPTL wanaingia nchini Zitto alikuwa kwao Kigoma anatoa Funza vidoleni Leo anajifanya anaijua sana IPTL, mbona Wapinzani wenzie kina Mbowe, Lowassa na Mbatia wamepiga Kimya au anataka aonekane yeye ni Mzalendo kuliko Wanasiasa wote!
Kihelehele chake huko Chadema ndio kilimfukuzisha lakini bado hajajifunza kitu!
Apunguze kwanza Viporo mezani, majina ya Uswiss kachoma Moto orodha baada ya wadau kufika bei!
It is too muchWanatakiwa kulipa 732 bilions
Mkuu ukoo wa mafisi na mapanya siku zote utabaki hivyo ukoo wa mafisi na mapanya.<br /><br />[quote uid=318098 name="YABUUU" post=17729510]ukiambiwa BABA kazungukwa na mafisi, mbwa mwitu na mbweha mnatoa povu. kama BABA anauwezo apambana na haya mafic, mbwa mwitu na mambweha. BABA hata ubav wa kuongelea hili hana jaman, pole mama tanzania pole watanzania kwa ujumla mana ndio walpa kodi[/QUOTE]Nyie Mliahidi Ukuta Sept 1 lakin mpaka leo hata Msingi hamjachimba