Genius Zitto Kabwe on Escrow

Genius Zitto Kabwe on Escrow

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
Rais Magufuli aonyeshe hasira zake dhidi ya Ufisadi kwenye huu ufisadi mkongwe wa IPTL.

Nimesoma ' arbitral award ' ambayo Benki ya Standard chartered wametunukiwa na ICSID ( case no. ARB/10/20 ) na kuumizwa sana kutokana na kwamba hoja zote ambazo zimetumika kuwapa ushindi SCB ndizo Kamati ya PAC ilizijenga kwenye Taarifa yake Maalumu iliyopitishwa na Bunge na kutolewa maazimio 8. Ndio hoja hizo hizo zilibezwa na Serikali chini ya Waziri Sospeter Mwijarubi Muhongo na umma kuambiwa kuwa TANESCO hawatakuwa na madai dhidi Yao.

Mahakama hii ( tribunal ) ya ICSID imethibitisha maonyo ya PAC kwamba hasara Kwa Nchi kwenye kashfa ya [HASHTAG]#TegetaEscrow[/HASHTAG] itakuwa Ni mara mbili ya Fedha zilizochotwa kwani mwenye Mali akijulikana tutapaswa kumlipa tena. Tulimpa Harbinder Singh Seth tshs 306 bilioni na tunapaswa kuwalipa SCB tshs 320 bilioni. Jumla tshs 626 bilioni. Na bado tunamlipa Seth kila Mwezi $4m Kwa umeme wa mtambo alioupata kitapeli.

ICSID imesema IPTL Ni Mali ya Standard Chartered Bank.

Rais John Magufuli ana fursa ya kihistoria kumaliza kabisa huu mtandao wa wizi na utapeli uliodumu toka mwaka 1995.
 
Nawashangaa sana watu wanaomhusudu mtu ambaye ni kinyonga.

Arudishe kwanza hela zetu alizochota nssf.

Na aachane na hela zetu, Fao la kujitoa halimhusu na asikaribu kufanya lobbying za kikongolese hapa.

Hivi yeye akiambiwa ubunge ukiisha asubiri mpaka afikishe 60yrs ataweza.
 
TULIENI magufuli atawashugulikia walitoa hasara nchi kwa u taratibu uleule uliowashglikia Akina Yona na Mramba.
 
Zitto ana Personal conflict of interest na IPTL na kina Seth, kudhulumiana kwake na kina Ruge asifanye kuwa ni mzozo wa Taifa!
Yeye Mwenyewe anamulikwa na umeme wa IPTL nyumban kwake lakin bado anajifanya haoni kazi ya IPTL.
Tanesco inanunua umeme kwa Wazabuni wengi sana na anajua kabisa IPTL ndio mzabuni anaeuza umeme wake Tanesco kwa bei nafuu zaidi lakin kwa kuwa IPTL hawataki kutoa rushwa kwa kina Zitto sasa kageuza ugomvi wa Kimsalahi kuwa ugomvi wa kitaifa!

1994 wakati IPTL wanaingia nchini Zitto alikuwa kwao Kigoma anatoa Funza vidoleni Leo anajifanya anaijua sana IPTL, mbona Wapinzani wenzie kina Mbowe, Lowassa na Mbatia wamepiga Kimya au anataka aonekane yeye ni Mzalendo kuliko Wanasiasa wote!
Kihelehele chake huko Chadema ndio kilimfukuzisha lakini bado hajajifunza kitu!

Apunguze kwanza Viporo mezani, majina ya Uswiss kachoma Moto orodha baada ya wadau kufika bei!
 
Hiyo stanshartered matapeli,walinunua deni la dola milion 100 kwa dola milioni 76,kwani walijua huo mkopo kwa mechmar ulikuwa na manyoka nyoka mengi,
kwanza inadaiwa mechmar katika huo mkopo walikuwa washalipa dola milion 84 na kubakiza deni dola milion 26.
Standard chartered ni kama waliuziwa deni hewa au document zilikuwa doctored,au mechmar waliwaingiza mjini PAP,ama yale mabank ndo yaliingiza mjini standared chartered.
Ni sawa na mtu ana kiwanja anamuuzia mwingine kwa cash huku title deed anampa mwingine na kuwaachia msala
 
ukiambiwa BABA kazungukwa na mafisi, mbwa mwitu na mbweha mnatoa povu. kama BABA anauwezo apambana na haya mafic, mbwa mwitu na mambweha. BABA hata ubav wa kuongelea hili hana jaman, pole mama tanzania pole watanzania kwa ujumla mana ndio walpa kodi
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Nyie Mliahidi Ukuta Sept 1 lakin mpaka leo hata Msingi hamjachimba
 
Mkuu ukoo wa mafisi na mapanya siku zote utabaki hivyo ukoo wa mafisi na mapanya.

ukiambiwa BABA kazungukwa na mafisi, mbwa mwitu na mbweha mnatoa povu. kama BABA anauwezo apambana na haya mafic, mbwa mwitu na mambweha. BABA hata ubav wa kuongelea hili hana jaman, pole mama tanzania pole watanzania kwa ujumla mana ndio walpa kodi
 
Zitto ana Personal conflict of interest na IPTL na kina Seth, kudhulumiana kwake na kina Ruge asifanye kuwa ni mzozo wa Taifa!
Yeye Mwenyewe anamulikwa na umeme wa IPTL nyumban kwake lakin bado anajifanya haoni kazi ya IPTL.
Tanesco inanunua umeme kwa Wazabuni wengi sana na anajua kabisa IPTL ndio mzabuni anaeuza umeme wake Tanesco kwa bei nafuu zaidi lakin kwa kuwa IPTL hawataki kutoa rushwa kwa kina Zitto sasa kageuza ugomvi wa Kimsalahi kuwa ugomvi wa kitaifa!

1994 wakati IPTL wanaingia nchini Zitto alikuwa kwao Kigoma anatoa Funza vidoleni Leo anajifanya anaijua sana IPTL, mbona Wapinzani wenzie kina Mbowe, Lowassa na Mbatia wamepiga Kimya au anataka aonekane yeye ni Mzalendo kuliko Wanasiasa wote!
Kihelehele chake huko Chadema ndio kilimfukuzisha lakini bado hajajifunza kitu!

Apunguze kwanza Viporo mezani, majina ya Uswiss kachoma Moto orodha baada ya wadau kufika bei!
Daaah nyie ndio raisi Rodrigo duterte anawapiga shaba.... Kuwa na mwanachi kama wewe no bora uwe na miashoki uwani utapunga upepo
 
Nchi hii anakuja mgeni mtupu kabisa.. anaondoka na utajiri wa kutisha..!!

Mh. Rais Magufuli.. naamini hizi hela hazitatoka milele... hakuna kulipa..ni kumbana map.umbu tu Kalasinga Seth, atalipa..!!
 
Back
Top Bottom