Genius only: Who is the killer?

Namba 3 aliua then ili kupoteza ushahidi akaja kunywa chai
 
what is the moral of the story?
 
mmm!! aiseh
 
Killer ni No 3 kwa sababu ( tatu kuu) na ndogo ndogo kadhaa
1. Ni mwanamke sababu kwa yeye ilikua rahisi kuingia choo cha kike na kutekeleza mauaji bila kuhisiwa, lakini pia aliyeuliwa ni mwanamke ndani ya choo cha kike
2. Mara nyingi mwanamke hawezi kuua bila silaha, kwa makomandoo wachache sana ndo wanaweza
3.........................Hizi ni kazi za kitaalamu kuongea hapa kuwafumbua macho wahalifu
 
Kwani choo ni cha wanawake au wanaume? Ama ni public?

Steve Jobs - Giant Of Technology.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…