Surgical Blade
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 349
- 16
fungua new folder kwenye desktop alafu rename it as con
kama nilivyoandika ukiweza nitafute fb fate eisten
kama nilivyoandika ukiweza nitafute fb fate eisten
Cjui atakua kdato cha ngap huyu
Note:
INASHAULIWA USITENGENEZE FOLDER LENYE HLO JINA KTK SYSTEM YAKO
mimi nnavitabu vya kujfunza kuHACK nlwahi kusoma kuhusu hii issue
nkakuta 7bu ya hilo folder kugoma kuandkwa
na 7bu ya hlo folder kukubal kwa 'cmd'
tusiwahukumu sana ni underground itni kweli kabisa inashauriwa kutotumia maneno haya ukitengeneza folder au file, sema vijana wanaibuka from nowhere bila kujua wanachokifanya,
dogo angekuja kipooole sio kwa mbwembwe, wote tunajifunza, hata kutoka kwa hao ma undergroundtusiwahukumu sana ni underground it
#include <vector>
#include <iostream>
std::vector<int> meCantBeBeaten;
int i=0;
while(true)
{
meCantBeBeaten.push_back(i);
std::cout<<"Wait...\n";
i++;
}
ni kweli kabisa inashauriwa kutotumia maneno haya ukitengeneza folder au file, sema vijana wanaibuka from nowhere bila kujua wanachokifanya,
Kwanini ni vigumu kutengeneza?
Jibu: Ni Ms Dos Reserved Driver names, Con pamoja na maneno mengine kama
Name Function
---- --------
CON Keyboard and display
PRN System list device, usually a parallel port
AUX Auxiliary device, usually a serial port
CLOCK$ System real-time clock
NUL Bit-bucket device
A:-Z: Drive letters
COM1 First serial communications port
LPT1 First parallel printer port
LPT2 Second parallel printer port
LPT3 Third parallel printer port
COM2 Second serial communications port
COM3 Third serial communications port
COM4 Fourth serial communications port
Haiwezekani?
Jibu: hapana, inawezekana
njia ya kwanza:
desktop users
tengeneza folder kisha rename: bofya ALT+255 (achia) kisha andika CON [hakikisha unatumia NumLock]
![]()
kisha hivi
![]()
2. CMD
![]()
bofya win+r > cmd
kisha type: md \\.\\"c:\con" usiondoe ""
Kwa sisi wazee wa busara tunajua hushughuliki na chalenji ya huyo mtovu wa maarifa bali unatuwakilisha watu wazima kumuadabisha next time atakuja na vitu vya maana sio kuchalenje watu wazima!asante