Genge la viongozi wa Iran linalovuruga Dunia

Ulishambuliwa na Alqaeda na hakuna sehemu yoyote Alqaeda iliwahi semekana iko sponsored na Iran ila kuna ushahidi kuwa Alqaeda iliwahi kuwa sponsored na US kumiga Mrusi kule Afghanistan.Kitu pekee Iran walichowahi kukifanya ni Hezbollah kuwatrain baaddhi ya wapiganaji wa Alqaeda miaka ya 90 lakini still bado Iran ilikuwa inalitambua kundi la Alqaeda kama la kigaidi.
Marekani anajua kuwa vita yake na Iran siyo rahisi wewe ndiye unasema unayosema we jiulize kuna nchi yoyote imewahi mfanyia jeuri US kama alivyofanya Iran? Kwanini anataka suruhu hajaishambulia?
Nafaka, umesema neno zuri kabisa- JEURI- JEURI ni sifa za mjinga na asiye na uwezo na huyo ndiyo Iran. Iran ilipodungua Drone ya USA walataka kupigwa ilipobainika watu wengi watakufa wakaacha- JEURI Iran akaona kaogopwa na wewe unafikiri hivyo. Kualiwa Jenerali yule- mpaka rais na kiongozi wa kisaisa na Kidini wamelia hadharani - ndo JEURI walivyo. UJEURI SI SIFA no ngoja niseme hivi UJEURI NI SIFA ZA WAJINGA..
 
tangu lini US wakawaza kuhusu watu kufa? Ni kwamba wanamuogopa Iran wanajua atawaumiza pia hata kama watamshinda. Hivi wewe unaelewaje hii kauli ambayo US anapena kuitumia "America's Interests" au unadhani yuko kullinda amani? yuko kule kuiba mafuta ndiyo interest yake.
Better die standing than live on your knees. Yes mwanaume inabdi uwe na jeuri hasa kama unajiweza na Iran inajiweza.
US usidhani mjinga najua kuwa Iran siyo wa mchezo acha kuwa over estimate US ngoja nikukumbushe
Unakumbuka kilichompata US kule Somalia akiwa na helcopter aina ya black hawk 13, magari 12, na wanajeshi 160 wakiwa wamevamia mkutano wa viongozi wa makabira ya Somalia ila kuwakamata.
Jeshi la makomandoo vipensi viliwatandika na kuangusha helcopter mbili mission waliyohisi itachukua masaa ikageuka ya usiku kucha wakitandikwa na maiti za wanajeshi wao kuburutwa mtaani.
Baada ya hiyo mission akaondoa majeshi yake never to return to Somalia, sasa hilo ni jeshi la local untrained soldiers hata hawana nukes na vindege visivyo na rubani.
Sasa itakuaje apigane na jeshi lililo well trained?
 
Nafaka- Iran ni jeshi well trained? 2019 fire power ranking USA 1----------- Iran 14.
 
Yes ni well trained huwezi lilinganisha na jeshi la wanamgambo wa somalia waliompakichapo US, sasa kama wanamgambo wallimpa kichapo je Iran atamfanyaje? Kushinda atashinda ila manundu na majeraha lazima abaki nayo yatamcost kuyatibu.
Iran kamfadhiri Hezbollah na kumtrain huoni anavyomsumbua Israel.
Huyo kamanda waliyemuua kaongoza mapigano ya kuimaliza ISIS wewe Iran siyo kama Saddam US siyo kwamba anataka maongezi kwakuwa anawaza ataua watu hapana maana kuua watu kwake siyo hoja hoja anaona hiyo vita itamgharimu zaidi na atapoteza interest zake zaidi.
 
Natamani jamaa akuelewe aseee.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita ya middle East ni upumbavu na ujinga wa kibinadamu

Vita ya kiimani ndio maana halisi ya vita haitaisha milele

1. Sababu wapo wanadhania Mungu ni wao tu

2. Wapo wanaodhani wananguvu zaidi ya Mungu

3. Wapo wanaodhani wanatoa adhabu kwaniaba ya Mungu

A. Kifupi ujinga wakudhani dini yangu bora kuliko ya mwenzangu
- Waislam hudhani bora kuliko wakristo
- Wakristo hudhani bora kuliko Waislam

Vita Waislam Vs Wakristo

Cha ajabu zaidi hakuna alienda kwa Mungu akarudi akatuletea ushahidi Mungu/Allah ni dini gani

Tunaishi kwa mapokeo na imani tu ......aibu sana kupigania kitu kilicho mafichoni ila mapokeo tu .....Binadamu hovyohovyo na dhaifu sana.

B. Ujinga kudhani,
- Suni bora zaidi ya Shia
- Shia bora zaidi ya Suni

Shia Vs Sun.......vita ya wenyewe kwa wenyewe (Waislam )

Vita A ....... vita dhidi ya imani

Vita B........vita dhidi ya imani

Mpaka mwisho wa dunia vita itakuwepo kijingajinga sababu imani hupenyezwa utotoni, watu wanakaririshwa, wanaaminishwa, wanadanganywa mpaka yanawakaa vichwani.

Ukimuuliza wewe ulienda kwa Mungu? Nani ameenda akarudi atupe ushuhuda pasi mashaka Mungu dini gani?

Sote tunaamishwa Mungu ananguvu zaidi ya chochote.... lakini bado tunauwana, kumpigania Mungu. Hatumwachii Mungu uweza wake ajipiganie. Upumbavu na ujinga wa mwadamu kuishi mapokeo.
 
Hawezi kuelewa maana hata hoja zake utaskia wana kiburi, wanaiga, wana udini, yani ni kama vile anaongelea familia ya baba na mama na watoto badala ya geopolitics.
Nafaka, kwenye geopolitics utakuwa myopic ukidhani Iran ina mu outscore USA
 
Iran has acquired a leaading position when it comes to middle east politics and welfare kwa sasa haepukiki actually hofu ya Saudi Arabia ni kwamba Iran anachukua nafasi yake
 
Bwana Utam, hutapata unachotamani kwa sababu mnaongelea vitu vya kufikirika mnapodhani ata USA inaiogopa Iran.
Anaiogopa ndiyo maana kwa sasa anataka maongezi wakati mwanzo alikuwa anasema ataipiga. Unajua US kazoea vita ambayo anashinda moja kwa moja bila kupoteza sana sasa hii ya Iran itakuwa kama ya vietnam. Si unajua Mvietnam alichomfanya US?
 
Yes ni well trained huwezi lilinganisha na jeshi la wanamgambo wa somalia waliompakichapo US, sasa kama wanamgambo wallimpa kichapo je Iran atamfanyaje? Kushinda atashinda ila manundu na majeraha lazima abaki nayo yatamcost kuyatibu.
Iran kamfadhiri Hezbollah na kumtrain huoni anavyomsumbua Israel.
Huyo kamanda waliyemuua kaongoza mapigano ya kuimaliza ISIS wewe Iran siyo kama Saddam US siyo kwamba anataka maongezi kwakuwa anawaza ataua watu hapana maana kuua watu kwake siyo hoja hoja anaona hiyo vita itamgharimu zaidi na atapoteza interest zake zaidi.
Nafaka, soma findings za hawa wnaharakati
Minimap Image

Related Tags
Executive Summary
Iran's influence in Iraq has been one of the most talked about but least understood aspects of the post-war situation. Tehran has been variously accused by Washington of undue and nefarious interference, by Arab leaders of seeking to establish an Islamic Republic, and by prominent Iraqi officials of an array of illegitimate meddling (manipulating elections, supporting the insurgency, infiltrating the country). In reality, as Crisis Group discovered during months of extensive research in Iran and Iraq, the evidence of attempted destabilising Iranian intervention is far less extensive and clear than is alleged; the evidence of successful destabilising intervention less extensive and clear still.

That Iran has vital interests in what happens in Iraq is beyond dispute. That it so far has exercised its influence with considerable restraint also is apparent, as is the fact that it has the capacity to do far more, and far worse. To maximise the chance that Iraq emerges successfully from its political transition, it will be critical for Tehran and Baghdad to work together on common security issues, and for the U.S. at least to prevent a further deterioration of its relations with the Islamic Republic.

Muqtada al-Sadr's uprising in April 2004 heightened fears that Iran might be backing anti-coalition violence. Iran also has been accused of facilitating the movement of groups such as Ansar al-Islam, and of being responsible for the assassination of Iraqi security officials. More recently, the triumph in the January 2005 elections for Iraq's transitional national assembly of the Shiite-based United Iraqi Alliance (UIA) and, in particular, of three parties within it with long-standing ties to the Iranian regime -- the Supreme Council for the Islamic Revolution in Iraq (SCIRI), Al-Da'wa and Al-Da'wa - Tanzim al-Iraq -- appeared to vindicate the views of those who suspect an Iranian effort to install a loyal, theocratic government.

The notion is widely accepted in Iraq, the Arab world and the U.S. that Iran is intent on destabilising Iraq, moulding its politics decisively (via money or the dispatch of hundreds of thousands of its nationals), or establishing a like-minded, compliant government. Already, this has had the insidious effect of shaping perceptions; if it continues unchallenged, it clearly runs the risk of determining policy. In fact, there is no indication that Iranian electoral manipulation is anything more than speculation or that the Shiites' victory was anything other than the political translation of their demographic predominance. Nor has any concrete evidence been presented to bolster the claim that Iran is either actively promoting the insurgency or seeking to maximise instability.

Iran's strength lies elsewhere. Having fought a brutal eight-year war with Iraq in the 1980s, its security agencies are highly familiar with Iraq's physical and political terrain and are able to sustain an active intelligence presence in southern Iraq, Baghdad and Kurdistan. Iranian levers of influence include a widespread network of paid informers, the increasingly assertive Iranian Revolutionary Guard Corps (IRGC, or Pasdaran), and petro-dollar funded religious propaganda and social welfare campaigns. Most importantly, Tehran has tried to influence Iraq's political process by giving support, in particular, to SCIRI. Even then, and while the record of the past two years suggests a solid Iranian motive to interfere in Iraq and plenty of Iranian activity, it also suggests little resonance, and, therefore, a negligible impact, on Iraqi society. This is because of a deep suspicion and resentment on the part of many Iraqis toward their neighbour.

The starting point to understand Iran's role must be a proper assessment of its interests. These are relatively clear and, for the most part, openly acknowledged. Tehran's priority is to prevent Iraq from re-emerging as a threat, whether of a military, political or ideological nature, and whether deriving from its failure (its collapse into civil war or the emergence of an independent Iraqi Kurdistan with huge implications for Iran's disaffected Kurdish minority) or success (its consolidation as an alternative democratic or religious model appealing to Iran's disaffected citizens). Iran consequently is intent on preserving Iraq's territorial integrity, avoiding all-out instability, encouraging a Shiite-dominated, friendly government, and, importantly, keeping the U.S. preoccupied and at bay. This has entailed a complex three-pronged strategy: encouraging electoral democracy (as a means of producing Shiite rule); promoting a degree of chaos but of a manageable kind (in order to generate protracted but controllable disorder); and investing in a wide array of diverse, often competing Iraqi actors (to minimise risks in any conceivable outcome).

These interests and this strategy, more than a purported attempt to mould Iraq in its own image, explain Iran's involvement, its intelligence collection, its provision of funds (and possibly weapons), and perhaps its occasional decision to back armed movements. They explain, too, the paradox of Iran's simultaneous ties to Iraq's political elite, which is hoping to stabilise the country, to Shiite clerics, who aim to Islamicise it, and to some rebellious political activists or insurgents, bent on fuelling unrest.

Finally, they explain why Iran so far has held back rather than try to undermine any chance of success. But this relatively cautious attitude may not last forever. Above all, it will depend on the nature of relations between Washington and Tehran: so long as these remain unchanged, Iran is likely to view events in Iraq as part of its broader rivalry with -- and heightened fears of -- the U.S. Highly suspicious of a large U.S. presence on its borders, concerned about Washington's rhetoric, and fearing its appetite for regime change, Tehran holds in reserve the option of far greater interference to produce far greater instability.

In basing its Iraq policy on cooperation with Shiites and its Iran policy on pressure against the regime, the Bush administration is simultaneously pursuing two paths that risk proving increasingly difficult to straddle. As Crisis Group has argued, the preferred way forward involves an accommodation between Tehran and Washington in which both sides' concerns are addressed: on the one hand Iran's nuclear program, its policies toward the Arab-Israeli peace process, and support for Hizbollah; and on the other, U.S. military presence in the region, its economic sanctions, and frozen pre-revolutionary Iranian assets. For now, however, such a grand bargain appears out of reach.

Some steps nonetheless should be taken to avert the most destabilising scenarios. Washington should avoid resorting to inflammatory rhetoric and take its newfound and welcome willingness to work with the European Union on a joint Iran policy a step further. To be credible, U.S. carrots must include more than lifting opposition to Iran's membership in the World Trade Organisation and to its obtaining aircraft spare parts -- and European sticks should include more than the already announced support for UN Security Council action in the event Iran does not verifiably renounce any military nuclear effort -- if the goal is to encourage constructive Iranian behaviour on the nuclear file. It also is vital for Iraq and Iran to work cooperatively on their respective security concerns, in particular by strengthening border controls and ceasing any support for or harbouring of groups that threaten their neighbour. For its part, and particularly in the aftermath of the January elections, the international community should urgently assist Iraq in rebuilding its intelligence and customs control capabilities.
 
Achana na haya mapost Iran ana interest Iraq kwakuwa yanayoendelea kule yanamuaffect moja kwa moja kuliko hata US. Mfano kuanzishwa kwa kundi la ISIS lilikuwa llinatishia usalama wa nchi zote zilizo middle East kuliko kwa US, sasa ulitaka Iran akae kimya?
Kalidunda kaliondoa Iraq mpaka Syria huko.
Hizi articles wanaziandika wazungu wenyewe sasa unategemea nini?
Nani alianza kudestailize middle East, mfano pale Iraq haya yanayotokea leo msababishi ni nani kama sio US kuivamia Iraq akamuua Saddam?
Tumia kichwa chako unijibu ni nani ali destabilize Iraq?
 
Nafaka, Iran walipigwa na Iraq wakati wa vita yao. Iran ni Shia hawtaki kuwaona Wasuni ambao walikuwa na nguvu wakati wa Saddam. Iran inaiogopa Iraq imara na inayotawaliwa na wasuni. Kwa hiyo wakati USA ikihangaika kumtoa Saddam, Iran ilikuwa busy ikIunda vikwazo dhidi ya Iraq tulivu na imara na imefanikiwa kuleta vurugu kwa kiasi chake. 75% wa bunge la Iraq ni vibaraka wa Iran ndiyo maana baada ya kuuliwa kwa genereli mvamizi bunge likapitisha azimio kuitaka USA iondoke. Kwa hiyo nakushauri upate muda usome na kuelewa.
Kwa taarifa yako Shia x Sunni ni ugomvi wa miaka mingi toka miaka ya 700 USA haikuwepo. SIJUI KAMA UNAELEWA.
 
Nafaka, Iran walipigwa na Iraq wakati wa vita yao. Iran ni Shia hawtaki kuwaona Wasuni ambao walikuwa na nguvu wakati wa Saddam. Iran inaiogopa Iraq imara na inayotawaliwa na wasuni. Kwa hiyo wakati USA ikihangaika kumtoa Saddam, Iran ilikuwa busy ikunda vikwazo dhidi ya Iraq tulivu na imara na imefanikiwa kuleta vurugu kwa kiasi chake. 75% wa bunge la Iraq ni vibaraka wa Iran ndiyo maana baada ya kuuliwa kwa genereli mvamizi bunge likapitisha azimio kuitaka USA iondoke. Kwa hiyo nakushauri upate muda usoem na kuelewa.
Kwa taarifa yako Shia x Sunni ni ugomvi wa miaka mingi toka miaka ya 700 USA haikuwepo. SIHUI KAMA UNAELEWA.
75% kwasababu Iraq majority ni Washia siyo Wasunni kama hukuwa walijua hilo basi anza kulitambua kwa sasa.
Iraq ilipigwa na maeneo yote iliyokuwa imeyateka Iran waliyarudisha na Iran iliacha mashambulizi baada ya UN kutoa order ya cease fire so Iraq haikushinda ile vita.
Narudia kukutaarifa majority ya Wairaq ni wa Shia siyo Wasunni so usitegemee bunge liwe na waSunni wengi
 
Anaiogopa ndiyo maana kwa sasa anataka maongezi wakati mwanzo alikuwa anasema ataipiga. Unajua US kazoea vita ambayo anashinda moja kwa moja bila kupoteza sana sasa hii ya Iran itakuwa kama ya vietnam. Si unajua Mvietnam alichomfanya US?
Nafaka,
The killing by the U.S. of Qassem Soleimani, the head of Iran’s Islamic Revolutionary Guards Corps Quds Force, marks a dramatic turning point. Soleimani had been in Washington’s crosshairs for many years, and successive U.S. presidents could likely have ordered his assassination in the past. That they chose not to do so suggests that they worried the costs would outweigh the benefits. With his decision, President Donald Trump is making clear that he abides by a different calculus: that, given the vast power imbalance, Iran has far more to fear from war than does the U.S. The strike that killed the Iranian general along with others – notably Abu Mahdi al-Muhandis, a senior commander of the pro-Iranian Iraqi Shiite militia – was, in accordance with this view, meant as a deterrent to further Iranian attacks.

It is almost certain to be anything but. Iran may fear U.S. retaliation, but it fears projecting that fear even more. From its perspective, it cannot allow what it views as a declaration of war to remain unanswered. It will respond and now must decide whether its reaction will be direct or through the array of proxies and allied forces Soleimani helped build; immediate or deferred; in Iraq or elsewhere – in the Gulf, Syria or beyond. The U.S. presence in Iraq, already shaky after the 29 December strike that killed two dozen members of a pro-Iranian Iraqi militia, is now hanging by a thread; the Trump administration may decide to depart preemptively rather than be forced to leave on Baghdad’s orders. The truce in Yemen between Saudi Arabia and Iran-backed Huthi fighters also is in greater jeopardy. Watch in particular for Iran’s announcement of its next steps on the nuclear front, taken in response to Washington’s violation of the 2015 deal. A serious step on 6 January had been predicted; in all likelihood, it just got far more serious.

The U.S.-Iranian game has changed. Their rivalry for the most part played out as an attritional standoff: Washington laying siege to Iran’s economy in hopes that financial duress would lead either to its government’s capitulation to U.S. demands or to its ouster; and Tehran responding with actions that maintained a veneer of plausible deniability. Targeting Soleimani is liable to mark a shift from attrition toward open confrontation.

In short, a U.S. president who repeatedly claimed that he does not wish to drag the country into another Middle East war has just brought that war one step closer. And a U.S. administration that argues it killed the Iranian general in order to avert further attacks just made those attacks more likely. Iran will retaliate; the U.S. will avenge the retaliation; and many across the region will pay the price.

Crisis Group is in the business of policy recommendations aimed at averting conflict. It is also in the business of realism. Some kind of conflict is now all but guaranteed, facilitated no doubt by a series of Iranian actions of which Soleimani was a mastermind, but rooted in President Trump’s ill-advised and reckless decision to exit the nuclear deal and embark on a policy of “maximum pressure” that led, almost inexorably and certainly predictably, to today’s crisis. The outcome is all the more tragic because the contours of a solution have been apparent for months: a tactical détente whereby Iran fully restores its compliance with the nuclear deal, and ends its regional provocations, in return for a reprieve from the crushing impact of U.S. sanctions.

One can only hope that, with encouragement and pressure from the two sides’ respective allies, this perilous tit-for-tat will be relatively contained and of relatively short duration. That, after a few rounds of attack and counter-attack, Washington’s desire to avoid getting sucked into another Middle East war and Tehran’s interest in averting devastating U.S. strikes, will drive both toward de-escalation. One can only hope. The alternative is too horrific to contemplate.
 
Hizi ngonjera zimeanza baada ya Iran kuwajibu sasa mbona hamkuzisema mwanzo au mlidhani Iran atafyata mkia. Western propaganda.
Kumbuka kwenye Iraq-Iran war Iran alikuwa isolated huku iraq akisaidiwa na karibu nchi nyingi za kiarabu, Soviet Union, Britain, us, France na bado alisimama akapigana kwa zaidi ya miaka sita.
Muajemi siyo wa mchezo
 
Nafaka, Iran hajamjibu USA kama equivalent ya jenerali ni ukuta wa kambi ya kijeshi ya USA sawa; au ni ile ndege ya abiria na wahanga wake sawa nakubaliana na wewe. Wape hongera.
 
Hukuona video ya CNN ule ni ukuta? hauko serious aisee inaelekea unajibu kwa ushabiki? makazi ya wanajeshi yamebomolewa maghala yamepinduliwa katikati ya kambi kuna shimo na shells za mabomu we unasema ukuta tu.
Kahojiwa sergent wa jeshi la Marekani mwanamke hadi anasema walipata taarifa kwamba kuna jambo litatokea ikabidi wa abandon kambi maana hawakujua ni nini kitafuata we wasema ukuta. ngoja nikutaftie video ya CNN uone.
Hivi kuna cnhi iliwahi mjibu Marekani hivi toka vita ya 2 ya dunia iishe? jibu ni hakuna ni Iran tu na US kakosa cha kufanya yeye ndiye anaomba mazungumzo bado unasema kwamba...?
 
Back
Top Bottom