Genge la viongozi wa Iran linalovuruga Dunia

Nafaka, hivi unataarifa kuwa:-
1. Mchango wa middle east wa mafuta ni 30%
2. Unajua USA ndiye supplier mkubwa wa mafuta
Lakini bado anataka aibe hata kwenye hiyo 30% we hujiulizi kwanini hajaleta majeshi Congo au Africa ya kati?
Kwanini iwe Middle East tu?
 
Naongelea Middle East na nchi zenye mafuta. Hizo military base zilizoko huko hasa middle East anazitumia kuvuruga amani ya huko
Nafaka, hiyo hadithi ya mafuta ni ya kizamani sana- duniani iko mbele miaka 100

The top five oil-generating countries are as follows:

1. United States
The United States is the top oil-producing country in the world, with an average of 17.87 million b/d, which accounts for 18% of the world's production. This is up from the 15.6 million b/d in 2017. The U.S. has held the top spot for the past six years.

The U.S. overtook Russia in 2012 for the No. 2 spot and surpassed former leader Saudi Arabia in 2013 to become the world's top oil producer. Much of the increased U.S. production is attributable to fracking in the shale formations in Texas and North Dakota. The U.S. has been a net exporter of oil (i.e., exports exceed imports) since early 2011.

2. Saudi Arabia
The Kingdom of Saudi Arabia contributes 12.42 million b/d, representing 12% of the world's total production. Saudi Arabia is the only member of the Organization of the Petroleum Exporting Countries (OPEC) to make this list.

According to The World Factbook, the petroleum sector accounts for roughly 42% of the country's gross domestic product (GDP), 87% of its budget revenues and 90% of export earnings. Saudi Arabia's major oil fields include Ghawar, Safaniya, Khurais, Manifa, Shaybah, Qatif, Khursaniyah, Zuluf, and Abqaiq.

Global oil production is expected to go from 80 million b/d in 2018 to 107 million b/d in 2050, per the EIA.
3. Russia
While Russia has fallen in the ranks, it remains one of the world's top oil producers, with an average of 11.4 million b/d in 2018, accounting for 11% of total world production.

Russia's main regions of oil production are Western Siberia, Volga-Ural, Krasnoyarsk, Sakhalin, Komi Republic, Arkhangelsk, Irkutsk, and Yakutiya. Most of the production originates from the Priobskoye and Samotlor fields in Western Siberia.

The oil industry in Russia was privatized after the fall of the Soviet Union, but after a few years, the companies were reverted to state control. Some of Russia's most prominent oil production companies are Rosneft, Surgutneftegaz, Gazprom Neft, and Tatneft.

4. Canada
Canada holds the fifth spot among the world's leading oil producers, with an average production of 5.27 million b/d in 2018, accounting for 5% of global production. According to the EIA International Energy Outlook 2019, Canada's production could double by 2050, rising 126%, topping growth from any of the other non-OPEC countries. This increase is expected to come primarily from oil sands production, one of the costliest ways to extract crude. However, technological advancements are bringing down costs significantly.

Canada's main sources of oil production are the oil sands of Alberta, the Western Canada Sedimentary Basin, and Atlantic offshore fields.

5. China
China produced an average of 4.82 million b/d of oil in 2018, which accounts for 5% of the world's production. China is a net importer of oil, as the country consumed an average of 12.79 million b/d last year.

The northeast and north-central region of the country are responsible for the majority of domestic production. Mature fields like Daqing have been exploited since the 1960s, but general mature field production has peaked, and companies are increasingly investing in enhanced oil recovery (EOR) techniques, such as polymer and stream flooding and water injection, to offset some of the production declines.
 
Nafaka, naelewa na hayo unayoyaamini ni udini na propoganda za Iran. Ilani anajaribu kujipima kwa USA na kutaka kujifanya USA wa middle East hivyo uwe mwangalifu. Iran ni Shia na anataka kujiona yeye ndiye custodian wa uislam duniani lakini anachosahau ni kuw Madina na Mecca ziko Saudia. Kwa ujumla Iran ni kakambale kadogo kanakoanza kuota sharubu- kachecheze Kibiti huku tu basi.
Mimi siyo Muislam na kwenye ukoo wetu sina kumbukumbu hata kama kuna alliye Mwislam, ila US ameivuruga Mashariki ya kati sana sana hasa kama mtazamo wa nchi fulani katika ulaji hauko sawa na wa kwake.
Hivi unajua US aliwahi llipua ndege ya raia ya Iran akaua watu wote inboard? Imagine yeye ndiye angekuwa kafanyiwa hivyo
Unakumbuka kisa cha kusema Gadaff alilipua ndege ya US? What was the difference between what Gadaff did and what US did?
 
Nafaka, hiyo hadithi ya mafuta ni ya kizamani sana- duniani iko mbele miaka 100

The top five oil-generating countries are as follows:

1. United States
The United States is the top oil-producing country in the world, with an average of 17.87 million b/d, which accounts for 18% of the world's production. This is up from the 15.6 million b/d in 2017. The U.S. has held the top spot for the past six years.

The U.S. overtook Russia in 2012 for the No. 2 spot and surpassed former leader Saudi Arabia in 2013 to become the world's top oil producer. Much of the increased U.S. production is attributable to fracking in the shale formations in Texas and North Dakota. The U.S. has been a net exporter of oil (i.e., exports exceed imports) since early 2011.

2. Saudi Arabia
The Kingdom of Saudi Arabia contributes 12.42 million b/d, representing 12% of the world's total production. Saudi Arabia is the only member of the Organization of the Petroleum Exporting Countries (OPEC) to make this list.

According to The World Factbook, the petroleum sector accounts for roughly 42% of the country's gross domestic product (GDP), 87% of its budget revenues and 90% of export earnings. Saudi Arabia's major oil fields include Ghawar, Safaniya, Khurais, Manifa, Shaybah, Qatif, Khursaniyah, Zuluf, and Abqaiq.

Global oil production is expected to go from 80 million b/d in 2018 to 107 million b/d in 2050, per the EIA.
3. Russia
While Russia has fallen in the ranks, it remains one of the world's top oil producers, with an average of 11.4 million b/d in 2018, accounting for 11% of total world production.

Russia's main regions of oil production are Western Siberia, Volga-Ural, Krasnoyarsk, Sakhalin, Komi Republic, Arkhangelsk, Irkutsk, and Yakutiya. Most of the production originates from the Priobskoye and Samotlor fields in Western Siberia.

The oil industry in Russia was privatized after the fall of the Soviet Union, but after a few years, the companies were reverted to state control. Some of Russia's most prominent oil production companies are Rosneft, Surgutneftegaz, Gazprom Neft, and Tatneft.

4. Canada
Canada holds the fifth spot among the world's leading oil producers, with an average production of 5.27 million b/d in 2018, accounting for 5% of global production. According to the EIA International Energy Outlook 2019, Canada's production could double by 2050, rising 126%, topping growth from any of the other non-OPEC countries. This increase is expected to come primarily from oil sands production, one of the costliest ways to extract crude. However, technological advancements are bringing down costs significantly.

Canada's main sources of oil production are the oil sands of Alberta, the Western Canada Sedimentary Basin, and Atlantic offshore fields.

5. China
China produced an average of 4.82 million b/d of oil in 2018, which accounts for 5% of the world's production. China is a net importer of oil, as the country consumed an average of 12.79 million b/d last year.

The northeast and north-central region of the country are responsible for the majority of domestic production. Mature fields like Daqing have been exploited since the 1960s, but general mature field production has peaked, and companies are increasingly investing in enhanced oil recovery (EOR) techniques, such as polymer and stream flooding and water injection, to offset some of the production declines.
Unaona nchi unazozitaja ni zile nnchi ambazo hawezi tia maguu ndiyo maana anaendela kunyemelea nchi zinazozalisha mafuta lakini still anaweza zimudu kuziibia. Huyo China, Russia, Canada ashachelewa lakini hawa wengine anawamudu. Saudi Arabia unajua kabisa utawala wake uko pamoja na US.
Mfano mauaji ya Jamal Kashogi assume yangekuwa yamefanywa na utawala wa Iran ambavyo US angeng'aka. Lakini kwa kuwa ni mshikaji wake Sudia alilipotezea kiaina hilo linaonyesha kuwa US atakutuhumu kama huendani naye kama unaendana naye basi hata mabaya yako hata yasupalia
 
Mimi siyo Muislam na kwenye ukoo wetu sina kumbukumbu hata kama kuna alliye Mwislam, ila US ameivuruga Mashariki ya kati sana sana hasa kama mtazamo wa nchi fulani katika ulaji hauko sawa na wa kwake.
Hivi unajua US aliwahi llipua ndege ya raia ya Iran akaua watu wote inboard? Imagine yeye ndiye angekuwa kafanyiwa hivyo
Unakumbuka kisa cha kusema Gadaff alilipua ndege ya US? What was the difference between what Gadaff did and what US did?
Nafaka, nimesema wewe n muumini wa udini sijasema wewe ni Muislam. Ukitaka kutiki viboma utatiki viboma vyote upande wa Iran. Ugomvi wangu na Iran NI UOGA wao kama wa nguvu waende wafanye lolote ndani ya USA siyo kupigana na USA kibiti Tanzania. au kuvizia balozi za USA zilipo. Iraq imetoa jibu zuri sana kwa wote USA na Iran kwa kuwambia ardhi yao si sehemu ya wao kupigania.
Hebu jiulize Generali wa Iran alikuwa anaenda Iraq kufanya nini? Nani alimpokea - nina hakika siyo Jenerali wa jeshi la Iraq ila mkora mmoja tu ambaye naye kafa naye.
 
Unaona nchi unazozitaja ni zile nnchi ambazo hawezi tia maguu ndiyo maana anaendela kunyemelea nchi zinazozalisha mafuta lakini still anaweza zimudu kuziibia. Huyo China, Russia, Canada ashachelewa lakini hawa wengine anawamudu. Saudi Arabia unajua kabisa utawala wake uko pamoja na US.
Mfano mauaji ya Jamal Kashogi assume yangekuwa yamefanywa na utawala wa Iran ambavyo US angeng'aka. Lakini kwa kuwa ni mshikaji wake Sudia alilipotezea kiaina hilo linaonyesha kuwa US atakutuhumu kama huendani naye kama unaendana naye basi hata mabaya yako hata yasupalia
Nafaka, USA hana sababu ya kuiba mafuta ya mtu anayo ya kwake. Na ndiyo maana ameweza kushusha na kustablize bei ya mafuta na sisi huku tunafaidika.
 
Nafaka, nimesema wewe n muumini wa udini sijasema wewe ni Muislam. Ukitaka kutiki viboma utatiki viboma vyote upande wa Iran. Ugomvi wangu na Iran NI UOGA wao kama wa nguvu waende wafanye lolote ndani ya USA siyo kupigana na USA kibiti Tanzania. au kuvizia balozi za USA zilipo. Iraq imetoa jibu zuri sana kwa wote USA na Iran kwa kuwambia ardhi yao si sehemu ya wao kupigania.
Hebu jiulize Generali wa Iran alikuwa anaenda Iraq kufanya nini? Nani alimpokea - nina hakika siyo Jenerali wa jeshi la Iraq ila mkora mmoja tu ambaye naye kafa naye.
Kwani hao US wamefanya nini ndani ya Iran wakati hata kamanda wa Iran ameuawa akiwa Iraq? au US nao ni waoga ndiyo maana hawajashambulia Iran ndani ya ardhi yao.
Narudia mimi siwezi kuitwa muumini wa Udini kwasababu hoja zangu hazijawa based na nani ni muumini wa dhehebu gani. Kwanza nimekwmbia mimi siyo Muislam mimi natokea familia ya Kikatoliki sasa ingekuwa Udini ningekuwa upande wa Israel ambaye ni mshirika wa Marekani.
Jiulize same question kwani Wamarekani Iraq wanafanya nini kwanini hujiulizi hilo na wakati serikali ya Iraq yenyewe haiwataki? Kwanini uko biased kwani pale Iraq ni ardhi yao? Why unashangaa general wa jeshi la Iran kuwa Iraq halafu Hushangai majeshi ya Marekani kuwa Iraq?
 
Nafaka, USA hana sababu ya kuiba mafuta ya mtu anayo ya kwake. Na ndiyo maana ameweza kushusha na kustablize bei ya mafuta na sisi huku tunafaidika.
Unachekesha sana sana sana. Hao unaowadai wana mafuta yao, bado wanaiba halafu bado wana viwanda vinatengeneza mafuta kwa kutumia mahindi which is an expensive thing to do. Mwizi haachi kuiba.
Fisadi hata aawe na billions mia bank bado ataiba hata pesa ya mradi wa choo cha kijiji.
 
Kwani hao US wamefanya nini ndani ya Iran wakati hata kamanda wa Iran ameuawa akiwa Iraq? au US nao ni waoga ndiyo maana hawajashambulia Iran ndani ya ardhi yao.
Narudia mimi siwezi kuitwa muumini wa Udini kwasababu hoja zangu hazijawa based na nani ni muumini wa dhehebu gani. Kwanza nimekwmbia mimi siyo Muislam mimi natokea familia ya Kikatoliki sasa ingekuwa Udini ningekuwa upande wa Israel ambaye ni mshirika wa Marekani.
Jiulize same question kwani Wamarekani Iraq wanafanya nini kwanini hujiulizi hilo na wakati serikali ya Iraq yenyewe haiwataki? Kwanini uko biased kwani pale Iraq ni ardhi yao? Why unashangaa general wa jeshi la Iran kuwa Iraq halafu Hushangai majeshi ya Marekani kuwa Iraq?
Nafaka, ujinga wa Iran kuiga kila anachofanya au alichofanya USA- huo ni ulimbukeni na siku zote malimbukeni ndiyo chanzo cha vurugu.
 
Hoja zako bwana zinafurahisha. Hivi wajua US alianza kumuandama Iran lini? au unadhani kaanza juzi? Iran amekuwa kwenye vikwazo vya US toka lini? Na kwanini US awe ndiye wakuamua nani awe na nukes za nuclear na nani asiwe nazo? Kwanini Pakstan, India wawe na nukes halafu Iran asiwe nazo?
Usije sema ni hatari kwa Iran kuwa na nukes za nuclear wakati historia inatueleza ni US pekee aliyewahi kuzitumia hakuna mwingine
 
Nafaka, kanuni ni moja tu ukifanya kitu kwa sababu fuklani amefanya wewe ni limbukeni na utakuwa chanzo cha vurugu
 
Sasa nani kafanya kisa US kafanya? Kuwa na silaha ni ulimbukeni? Watu wamejifunza kuwa US atakuonea ukiwa hauna silaha waliona kilichompata Saddamhata nukes hakuwa nazo lakini akasingiziwa na kushambuliwa. Jambo la kwanza kwa nchi inayojielewa ni kujilinda na Iran analijua hilo asipokuwa vizuri US angekuwa keshamshambulia lakini sasa anajua akijaribu vita yake na Iran itamcost sana hata kama ataishinda lakini haitokuwa vita rahisi.
Kwa hiyo kwa maoni yako wote wanaotengneza silaha wanamuiga US? Una hoja zinafurahisha aisee
 
Genge pekee linalovuruga dunia ni elite wa Marekani. Wamezigeuza nchi nyingine duniani kama wilaya za USA, wakiwaamulia mambo yao na kuwapangia watawala kadri watakavyo kwa maslahi yao.

Tazama nchi kama Venezuela, Syria, Libya, Misri, Lebanon, Yemen, Bolivia n.k.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Mkuu kunywa balimi kubwa ya moto nitalipa
 
Sasa nani kafanya kisa US kafanya? Kuwa na silaha ni ulimbukeni? Watu wamejifunza kuwa US atakuonea ukiwa hauna silaha waliona kilichompata Saddamhata nukes hakuwa nazo lakini akasingiziwa na kushambuliwa. Jambo la kwanza kwa nchi inayojielewa ni kujilinda na Iran analijua hilo asipokuwa vizuri US angekuwa keshamshambulia lakini sasa anajua akijaribu vita yake na Iran itamcost sana hata kama ataishinda lakini haitokuwa vita rahisi.
Kwa hiyo kwa maoni yako wote wanaotengneza silaha wanamuiga US? Una hoja zinafurahisha aisee
Nafaka, Iran hawezi kushinda vita ya wazi na USA
 
Nimekubari hawezi kushinda ila nilichokisema ni kwamba wanajua hiyo vita pia itamgharimu US na ndiyo maana US mwenyewe ameanza kufanya kila linalozwezakana kuiepuka maana ameshajua Iran siyo Libya wala Iraq
 
Nafaka, hivi ubalozi wa USA Dar es Salaam uliposhambuliwa na vibaka wa Iran walikufa Wamarekani wangapi vis a vis wasio wamarekani. Iran anchoweza ni kupiga mwaeneo kama Kibiti na kuzani anapigana na USA.
 
Ulishambuliwa na Alqaeda na hakuna sehemu yoyote Alqaeda iliwahi semekana iko sponsored na Iran ila kuna ushahidi kuwa Alqaeda iliwahi kuwa sponsored na US kumiga Mrusi kule Afghanistan.Kitu pekee Iran walichowahi kukifanya ni Hezbollah kuwatrain baaddhi ya wapiganaji wa Alqaeda miaka ya 90 lakini still bado Iran ilikuwa inalitambua kundi la Alqaeda kama la kigaidi.
Marekani anajua kuwa vita yake na Iran siyo rahisi wewe ndiye unasema unayosema we jiulize kuna nchi yoyote imewahi mfanyia jeuri US kama alivyofanya Iran? Kwanini anataka suruhu hajaishambulia?
 
Back
Top Bottom