Mkuu samahani lakini nahisi unachemka kwa kusema mafundi wa kibongo wanababaisha!
Masuala ya genereta ni rahisi mno ila wewe unavyoonekana haujui unachokitafuta ndo maana unataka upewe website. Weka shida yako hapa tutakusaidia. Tuambie unapata shida gani, ni make gani na inatumia Engine gani then we can sort you out.
By the way Genset ya 25kVA - 40kVA ni vidogo sana tu na hata matumizi yake mara nyingi ni household au kwenye ofisi ndogondogo kwa hiyo ni common sana tu.