Generator hire! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Generator hire!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by BUNGE, Oct 28, 2011.

 1. BUNGE

  BUNGE Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu habari za leo na poleni na kulisukuma gurudumu hili ambalo linazidi uzito kila kukicha... Salute!!

  Sasa ni hivi... Kwa kutambua mchango wenu wana JF... Naomba kuuliza swali general kuhusu biashara ya kukodisha Generators za KVA10 - 400 kwa Dar au Tanzania kwa Ujumla.

  Nachotaka kujua ni;

  - Kama kuna makampuni au mtu anafanya tayari
  - Bei za kukodi Gennies(generators) ni kiasi gani per hour/day etc
  - Potential clients
  - Anything else you deem useful


  Your input will be very much appreciated!!!

  Asanteni saana
   
Loading...