Synchronous motor si ndio induction? Tumekukumbusha wapi mkuu
Yes, lakini speed ya rotor ni sawa na speed ya rotating flux.. Yaani they rotate at the same speed.. Hakuna ile kitu inaitwa slip... Slip is the difference between rotor speed na magnetic flux speed
Yes, lakini speed ya rotor ni sawa na speed ya rotating flux.. Yaani they rotate at the same speed.. Hakuna ile kitu inaitwa slip... Slip is the difference between rotor speed na magnetic flux speed
Sio kwamba Flux zina rotate katika speed zaidi ambapo inaitwa sychronous speed tofauti ns speed ya rotor ambapo rotor hai reach synchronous speed
Nimekupata mkuu thanks kwa maelezo ..Je umewah kufunga star delta forward and reverse? Share experience yako na wadau hapaInduction motor ya kawaida speed ya rotor ni ndogo kidogo ya speed ya magntic fluxes (synchronous speed) zitokazo kwenye stator. Difference ya hizo speed mbili inaitwa SLIP. Bila slip kuwepo induction motor ingesimama. Sasa ili rotor izunguke kwenye speed sawa na synchronous speed, inabidi rotor isiitegemee stator kupata magnetism. Hence, when slip is zero, then there no difference ya speed kati ya staor na rotor, hivyo kwa sababu zinazunguka kwenye speed moja (sychronous speed) ndiyo maana inaitwa suchronous motor.
Ilikuwa Level gani mana aya mambo hayaishi ati
Nimekupata mkuu thanks kwa maelezo ..Je umewah kufunga star delta forward and reverse? Share experience yako na wadau hapa
Fortunately, baada ya kumaliza darasa la saba huko Songea mkoani ruvuma, nikaingia Ifunda Technical Sec School, then Mbeya Technical College na baada ya hapo nikaingia UDSM enzi hizo kuna FoE.. Hizi COeT ni za baadaye sana kwangu... Kwa hiyo kwenye kila level at least nilisoma hayo makotu katika level hiyo... UNAKIJUA KITABU CHA MUHINDI KINAITWA THERAJA...??
Shule yangu imekuwa ya technical, na kazi yangu ya kwanza ilikuwa Kahama Mining Corp. Limited (KMCL-process plant) full of induction motors as dosing pumps, norma pumps, mills .. YOPU CAN IMAGINE
Mkuu upo juu hicho kitabu kina deal na nini?
Naweza pata soft copy kwa pdf je bei ya hard copy ipo vipi?
Hard copy mimi nilikinunua Tshs 40,000/- Mwaka 1998 pale tancot opposite na kituo cha mafuta Oryx iliyoko nyuma ya new Africa hotel... Sijui bei ya leo. Na kukipata ilikuwa ishu kidogo.. Jamaa unawapamoda leo, na walidai walikuwa wanaagiza Nairobi... BUT THAT WAS THEN... Ulizia pale