Generator and Motor Special Thread

Yales

JF-Expert Member
Oct 3, 2015
517
527
Wanaukumbi.
Habari za wasaa huu Nawakaribisha Ma Technian tushare uzoefu wa vifaa hivi ambavyo ni usefull sana katika application mbali mbali
1. Motor is electrical machine which convert electrical energy into mechanical power uploadfromtaptalk1446013035667.jpg
2. Generator yenyewe inafanya tofauti na motor yenyewe inatoa mechanical into Electrical uploadfromtaptalk1446013095956.jpg
Karibu tuzidi kuchimba zaidi....Sharing is caring
 
Synchronous motor si ndio induction? Tumekukumbusha wapi mkuu

Yes, lakini speed ya rotor ni sawa na speed ya rotating flux (synhronuos speed).. Yaani they rotate at the same speed.. Hakuna ile kitu inaitwa slip... Slip is the difference between rotor speed na magnetic flux speed.

Sasa for them to rotate at the same speed, lazima uwe na source nyingine ya magnetism kwenye rotor.. Sasa zile magnetic poles za kwenye rotor zina-LOCK na magnetic poles za state and hence zinazunguka at the same speed.
 
Yes, lakini speed ya rotor ni sawa na speed ya rotating flux.. Yaani they rotate at the same speed.. Hakuna ile kitu inaitwa slip... Slip is the difference between rotor speed na magnetic flux speed

Sio kwamba Flux zina rotate katika speed zaidi ambapo inaitwa sychronous speed tofauti ns speed ya rotor ambapo rotor hai reach synchronous speed
 
Ok mkuu nadhani hio synchronous speed ni Theoretically tu we dont have it practically right?
 
Sio kwamba Flux zina rotate katika speed zaidi ambapo inaitwa sychronous speed tofauti ns speed ya rotor ambapo rotor hai reach synchronous speed

Induction motor ya kawaida speed ya rotor ni ndogo kidogo ya speed ya magntic fluxes (synchronous speed) zitokazo kwenye stator. Difference ya hizo speed mbili inaitwa SLIP. Bila slip kuwepo induction motor ingesimama. Sasa ili rotor izunguke kwenye speed sawa na synchronous speed, inabidi rotor isiitegemee stator kupata magnetism. Hence, when slip is zero, then there no difference ya speed kati ya staor na rotor, hivyo kwa sababu zinazunguka kwenye speed moja (sychronous speed) ndiyo maana inaitwa suchronous motor.
 
Attachments

  • Synchronous motor.jpg
    Synchronous motor.jpg
    4.4 KB · Views: 162
Induction motor ya kawaida speed ya rotor ni ndogo kidogo ya speed ya magntic fluxes (synchronous speed) zitokazo kwenye stator. Difference ya hizo speed mbili inaitwa SLIP. Bila slip kuwepo induction motor ingesimama. Sasa ili rotor izunguke kwenye speed sawa na synchronous speed, inabidi rotor isiitegemee stator kupata magnetism. Hence, when slip is zero, then there no difference ya speed kati ya staor na rotor, hivyo kwa sababu zinazunguka kwenye speed moja (sychronous speed) ndiyo maana inaitwa suchronous motor.
Nimekupata mkuu thanks kwa maelezo ..Je umewah kufunga star delta forward and reverse? Share experience yako na wadau hapa
 
Ilikuwa Level gani mana aya mambo hayaishi ati

Fortunately, baada ya kumaliza darasa la saba huko Songea mkoani ruvuma, nikaingia Ifunda Technical Sec School, then Mbeya Technical College na baada ya hapo nikaingia UDSM enzi hizo kuna FoE.. Hizi COeT ni za baadaye sana kwangu... Kwa hiyo kwenye kila level at least nilisoma hayo makotu katika level hiyo... UNAKIJUA KITABU CHA MUHINDI KINAITWA THERAJA...??

Shule yangu imekuwa ya technical, na kazi yangu ya kwanza ilikuwa Kahama Mining Corp. Limited (KMCL-process plant) full of induction motors as dosing pumps, norma pumps, mills .. YOPU CAN IMAGINE
 
Nimekupata mkuu thanks kwa maelezo ..Je umewah kufunga star delta forward and reverse? Share experience yako na wadau hapa

Start-Delta, DOL, kufuma motor (kama unajuwa slots 2-4, 2-8) nimefanya sana pale Kilombero Sugar K1 wakati nasoma FTC Mbeya Tech.... Maana tulikuwa tunakwenda viwandani kwa ajili ya mazoezi... Nilishafanya Pasua kule Moshi pale kiwanda cha magunia (RIP), TBL Dar wakati wanaweka line mpya 1998 nikiwa UDSM, nishayafanya installation mno... Halafu Kwa sasa kuna soft electronic starters, hayo... Ingawa Star-Delta bado sipo mitaani kwenye mashine za kusaga, Jaw crushers, conveyor belts.. etc
 
Fortunately, baada ya kumaliza darasa la saba huko Songea mkoani ruvuma, nikaingia Ifunda Technical Sec School, then Mbeya Technical College na baada ya hapo nikaingia UDSM enzi hizo kuna FoE.. Hizi COeT ni za baadaye sana kwangu... Kwa hiyo kwenye kila level at least nilisoma hayo makotu katika level hiyo... UNAKIJUA KITABU CHA MUHINDI KINAITWA THERAJA...??

Shule yangu imekuwa ya technical, na kazi yangu ya kwanza ilikuwa Kahama Mining Corp. Limited (KMCL-process plant) full of induction motors as dosing pumps, norma pumps, mills .. YOPU CAN IMAGINE

Mkuu upo juu hicho kitabu kina deal na nini?
 
Naweza pata soft copy kwa pdf je bei ya hard copy ipo vipi?

Hard copy mimi nilikinunua Tshs 40,000/- Mwaka 1998 pale tancot opposite na kituo cha mafuta Oryx iliyoko nyuma ya new Africa hotel... Sijui bei ya leo. Na kukipata ilikuwa ishu kidogo.. Jamaa unawapamoda leo, na walidai walikuwa wanaagiza Nairobi... BUT THAT WAS THEN... Ulizia pale
 
Nashukuru sana sana kaka ilikuwa vol ngapi io uliochukua? au ni Full Edition
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom