Nahitaji generator kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kama kuwasha TV, Taa, Friji na AC. Kwa wenye utaalamu ni generator gani nzuri kwa haya mahitaji? Na ni wapi naweza kupata.
Pia ningependa kujua size (ukubwa)
Hapo juu kwenye rating ya generator nafikiri inabidi iwe kVA na sio kV.