Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,709
- 19,558
Huko tuendako ni giza tupu mkuuHakika yanaogopesha sana! Umeongea vyema na ndo huo ukweli na uhalisia tulionao. Inatisha! Kibaya zaidi usipokuwa miongoni mwa watendaji wa hayo yote uliyoyataja unaonekana wakuja, au washambani! Wanaoyafanya wanaonekana born town kitambo.... Kumbe wengine ni wa kitendagulo huko!!!!! Ni hatari!
Wenye masikio na wasikie, nahofia hasa sisi wanaume na uwanaume wenyewe ni viumbe vililivyo katika hatari ya kutowekaSijui kama utaeleweka ila kwa upande fulani ndio tulipofikia sasa.
Kiukweli tunakoelekea ni hatari sana aisee.
Ndio kizazi kijacho hicho ndugu yangu, unajua hata kile kizazi cha zamani mwanamke alikua akiambiwa anyonye dushe alikua anaweza kutapika au akakimba na ndoa yenyewe kabisa, lakini wakati ni ukuta sasa hivi wananyonya kama wanapiga mswaki vileDu biashara ya kuwekeana kizibo cha kidole kwenye... Mhii hapana ni shida
Unajua Sodoma Na gomora ziliangamizwa kwa mambo kama haya ila mi naona binadamu wa sasa wameshapita kiwango cha Sodoma ila Mungu Mwenyewe tu Anatuhurumiaaisee haupo mbali na ukweli, Leo kwenye group Fulani kuna mama analalamika, kafumania SMS kwenye Simu ya mume wake ati kamtumia mchepuko amemis kulambwa tgo na huo mchepuko....ati ausifia wajua mahaba!!! yaan ni kinyaaa!!!
Sisi tumewapita Sodoma na Gomora, kwa maoni yangu. Sababu tunaendelea ku survive ni huruma tu ya Mungu juu yetuUhuni au uchafu ulikua enzi hizo, sasa hivi ni marudio tu, hakuna jipya...
Sasa hivi unayasikia na kuyoana kwa sababu ya technolojia ya mawasiliano imerahisisha...
Ulianza na kuwepo toka enzi hizo kabisa, mpaka yakatokea majina kama sodoma na gomora...
Haya ni marudio tu ya mambo yaliyokwisha tendwa kipindi hicho...
Cc: mahondaw
Sisi tumewapita Sodoma na Gomora, kwa maoni yangu. Sababu tunaendelea ku survive ni huruma tu ya Mungu juu yetu
Na kugegeda siku hiyohiyo!Skuhiz unatongoza
asubuh saa 4 ikifka saa
Kumi jion umepewa majibu