Generations na love making, yajayo yanaogopesha!

Generations na love making, yajayo yanaogopesha!

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
10,557
Reaction score
19,107
Kwa wanaume umeshawahi kumfukuzia dem miezi kumi na nane au hata miaka zaidi ya miwili huku sometimes ukiwa unafungiwa vioo, kubadilishiwa njia, kutolewa maneno machafu na hata kupata misonyo ya hapa na pale? Hiyo ndio ilikua generation ya Mahaba ya Njiwa. Kizazi hiki ni kile cha vijana wa miaka ya 1987 kurudi nyuma. Ilikua ni kazi sana kupata mwanamke. Wapenzi walikua wanaheshimiana sana kiasi kwamba ukiwatembelea majumbani baadhi ya couple kwa jinsi wanavyoheshimiana na kuogopana mtu ulikua unajiuliza hivi hawa hua wanafanyaga matusi kweli!

Mapenzi ya kitandani enzi hizo hayakua romantic sana. Mara nyingi style ilikua moja tu ya kifo cha mende au sana sana kiubavu ubavu.Ila wanawake waliwekeza sana katika kukata mauno. Wanaume walikua wanaume hasa. Walikua na nguvu kupitiliza na ilikua kawaida kusikia mwanamke kakimbia kwa mumewe baada ya rigwaride kumshinda

Baadae ikaja Generation ya kula koni au kula mua. Hii sana sana ilikua kuanzia 1988 hadi kwenye 2002/3. Sexual life ikapata kionjo kipya. Mwanamke anekula koni ndio ikawa anajua ku kwichkwich na anakua ndio habari ya mujini. Na ugumu wa kuwapata wanawake ukapungua kidogo. Kwenye peak ya kizazi hiki cha kula koni yaani 2002/3 wadada wakaongeza manjonjo na madoido, wakawa wanataka mwanaume a piz humohumo mdomoni! Wakabadilisha jina wakaita blow jobs(kama wazungu), au kuimba na kucheza na mic.

Kwenye peak ya Generation ya Blow Jobs taratiibu ikaibuka Generation 'Chumvini'. Ilianza kama mzaha na wanaume wengine wakawa wanaona kinyaa, lakini baada ya muda ikawa ni jambo la kizazi kizima. Sio wote wanaozama huko lakini idadi ya kutosha ya wanume wanazamisha ndimi zao katikati ya miguu ya wapenzi wao wakitafuta madini gani sijui yenye ladha naskia ya chumvichumvi!

Hadi kufikia 2007 Generation Chumvini ikawa imefikia its Peak ambapo likawa ni jambo lakawaida kabisa, na kidogo kidogo ikaibuka Generation Ya Mtandao Pendwa, Mtandao wa Tigo. Watoto wengi sana wa kike wanatumia huu mtandao. Imekua kama fasheni, hawaogopi lolote wanatoa huko nyuma kama hawana akili nzuri ingawa madhara yake yanaonekana kwa namna moja ama nyingine. Idadi ya mabinti wanaoomba wajifungue kwa oparation hata kama hawana complications zozote imeongezeka sana!

Baada ya huo mtandao pendwa kuonekana upo katika peak sasa hivi, kunaanza kuibuka generation ya ajabu ambayo bado haijapewa jina. Kizazi hiki utakuta mwanaume anafanyiwa yoote yale ya vizazi vilivyopita, yaani anafanyiwa blow jobs na yeye anachimba chumvi lakini hapo hapo na yeye anataka arambwe kwenye mfereji mchafu halafu awekewe na dole hukohuko wakati akiwa anachimba chumvi au anagegeda!

Nadhani ma tomboy muda si mrefu wataanza kuwa target na vijana wakiume wakiwa na vifaa vyao vya kazi kama dildos n.k. Mungu atuepushe na laana hizi! Nakionea huruma sana kizazi kijacho maana nguvu za kiume na wanaume zinapotea kwa kasi na hata dawa za kuongeza nguvu za kiume wateja wengi ni vijana na nina miaka miingi sana sijawahi sikia kuna mwanamke kamkimbia mwanaume sababu rigwaride limemshinda. Sana sana nasikia mwanaume anakimbiwa kwakua hawezi kazi au anakibamia! mambo ya swala kumkimbiza simba hayo
 
Hakika yanaogopesha sana! Umeongea vyema na ndo huo ukweli na uhalisia tulionao. Inatisha! Kibaya zaidi usipokuwa miongoni mwa watendaji wa hayo yote uliyoyataja unaonekana wakuja, au washambani! Wanaoyafanya wanaonekana born town kitambo.... Kumbe wengine ni wa kitendagulo huko!!!!! Ni hatari!
 
Huko tuendako ni giza tupu mkuu
 
Du biashara ya kuwekeana kizibo cha kidole kwenye... Mhii hapana ni shida
Ndio kizazi kijacho hicho ndugu yangu, unajua hata kile kizazi cha zamani mwanamke alikua akiambiwa anyonye dushe alikua anaweza kutapika au akakimba na ndoa yenyewe kabisa, lakini wakati ni ukuta sasa hivi wananyonya kama wanapiga mswaki vile
 
aisee haupo mbali na ukweli, Leo kwenye group Fulani kuna mama analalamika, kafumania SMS kwenye Simu ya mume wake ati kamtumia mchepuko amemis kulambwa tgo na huo mchepuko....ati ausifia wajua mahaba!!! yaan ni kinyaaa!!!
 
Unajua Sodoma Na gomora ziliangamizwa kwa mambo kama haya ila mi naona binadamu wa sasa wameshapita kiwango cha Sodoma ila Mungu Mwenyewe tu Anatuhurumia
 
Uhuni au uchafu ulikua enzi hizo, sasa hivi ni marudio tu, hakuna jipya...

Sasa hivi unayasikia na kuyoana kwa sababu ya technolojia ya mawasiliano imerahisisha...

Ulianza na kuwepo toka enzi hizo kabisa, mpaka yakatokea majina kama sodoma na gomora...

Haya ni marudio tu ya mambo yaliyokwisha tendwa kipindi hicho...

Cc: mahondaw
 
Sisi tumewapita Sodoma na Gomora, kwa maoni yangu. Sababu tunaendelea ku survive ni huruma tu ya Mungu juu yetu
 
Sisi tumewapita Sodoma na Gomora, kwa maoni yangu. Sababu tunaendelea ku survive ni huruma tu ya Mungu juu yetu

Unajua siku hizi tunayasikia mengi kwa sababu watu wanafuguka sana...

Watu wapo wa wazi sana...

Zamani wanawake walikua wanafanywa vibaya sana... wanashinikizwa kufanya machafu...

Zamani mwanamke akifanywa kinyume na maumbile hathubutu kushtaki popote...

Akilazimishwa kutenda uchafu wowote hakuna pa kusemea, hakuna pa kuutangazia umma...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom