PreGE2025 Generation Samia: NEST itatengeneza mamilionea Mwanza Machi 29

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Generation Samia imewahamasisha wakazi wa mkoa wa Kanda ya Ziwa kuchangamkia fursa ya bajeti ya asilimia 30 ya tenda za Serikali iliyotolewa makundi ya vijana, wanawake, wazee na watu wenye ulemavu kupitia Mfumo wa NeST.

Kwa kutambua kuwa vijana ni chachu ya mabadiliko, Generation Samia imewasihi kujitokeza kwa wingi kutumia fursa hiyo, kwa kusajili vikundi vyao na kufuata taratibu ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wamejisajili kwenye Mfumo wa NeST ili wajiinue kiuchumi.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mikataba ya zaidi ya Shilingi Trilioni 14.9 zimetolewa kwa wazabuni kupitia Mfumo wa NeST, na mabilioni yametengwa kwaajili ya makundi maalum, kwa mujibu wa PPRA.

Generation Samia kwa kushirikiana na Mamlaka ya Kudhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) watafanya Kongamano la Wazi la Fursa za Kiuchumi, litakalofanyika Machi 29, 2025, Kwa Tunza Beach, Mwanza kuanzia saa mbili asubuhi. Kongamano hilo limebeba ujumbe, “Mgao wa 30% za Samia kupitia Mfumo wa NeST”.

Generation Samia imewahamasisha wakazi wa mkoa wa Kanda ya Ziwa kuchangamkia fursa ya bajeti ya asilimia 30 ya tenda za Serikali iliyotolewa makundi ya vijana, wanawake, wazee na watu wenye ulemavu kupitia Mfumo wa NeST.

Kwa kutambua kuwa vijana ni chachu ya mabadiliko, Generation Samia imewasihi kujitokeza kwa wingi kutumia fursa hiyo, kwa kusajili vikundi vyao na kufuata taratibu ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wamejisajili kwenye Mfumo wa NeST ili wajiinue kiuchumi.

Mikataba ya zaidi ya Shilingi Trilioni 14.9 zimetolewa kwa wazabuni kupitia Mfumo wa NeST, na mabilioni yametengwa kwaajili ya makundi maalum, kwa mujibu wa PPRA.

Generation Samia kwa kushirikiana na Mamlaka ya Kudhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) watafanya Kongamano la Wazi la Fursa za Kiuchumi, litakalofanyika Machi 29, 2025, Kwa Tunza Beach, Mwanza kuanzia saa mbili asubuhi. Kongamano hilo limebeba ujumbe, “Mgao wa 30% za Samia kupitia Mfumo wa NeST”.

Generation samia ? 😂😂😂😂
 
Una hakika hao wana akili timamu? wajinga. Huwezi ukawa na akili timamu ukahangaika kujiita Generationsa100
 
Back
Top Bottom