General Tyre imeuzwa Kinyemela?

General Tyre imeuzwa Kinyemela?

Vyovyote itakavyokua kama kimefufuka tunapaswa kutoa pongezi kwani tunataka ajira zipatikane na matairiyatengenezwe nchini. Sio lazima kila kitu hata jambo jema tulalamike.

Ni kweli, kama Mzee amefufua hicho Kiwanda ni Pongezi kubwa
 
Vyovyote itakavyokua kama kimefufuka tunapaswa kutoa pongezi kwani tunataka ajira zipatikane na matairiyatengenezwe nchini. Sio lazima kila kitu hata jambo jema tulalamike.
Mkuu kiwanda kama kiwanda kimezidi kuwa gofu! Panapojengwa ni eneo la nyuma ya kiwanda lililokuwa wazi na sehemu ndogo ikitumika kama dampo la kiwanda,hapo ndipo panapojengwa vitu kama madarasa na wachina! Japo eneo lenyewe lipo ndani ya fensi ya kiwanda!
 
Sasa wachina wamepenya vipi na wamepewa na nani?
 
Wachina washafanya yao mkuu! Naona wanajenga room kama za kupangisha single single! Au ni madarasa ya chekechea sijui!
Mi kila siku nkipita hapa kwa wiki hizi sielewi, nlidhani Shule ya chekechea.
Sasa panajengwa lakini :
Hakuna bango kuwa ni project gani?/nini wanajenga
Nani anajenga/ contractors
Client / mteja ni nani.
Yaani kwa ujinga wangu nilidhani pakijengwa vile lazima kuwe na details hata mpita njia ajue.
Naona panabadilika kimya kimya tu.
Au huenda sio eneo la kiwanda, kwa ujumla hapajaeleweka labda badae tuvute subira ajira za kiwanda zitatoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miujiza ya Tanzania wanasiasa wanafufua viwanda walivyoshiriki kuviua, ingekuwa enzi za Nuhu na safina ilibidi tupigwe dhoruba moja ya maana tujifie wote tu nchi ianze moja.
 
Mkuu kiwanda kama kiwanda kimezidi kuwa gofu! Panapojengwa ni eneo la nyuma ya kiwanda lililokuwa wazi na sehemu ndogo ikitumika kama dampo la kiwanda,hapo ndipo panapojengwa vitu kama madarasa na wachina! Japo eneo lenyewe lipo ndani ya fensi ya kiwanda!
Mengi ndio mmiliki kwa sasa, ana ubia na wachina
 
Mi kila siku nkipita hapa kwa wiki hizi sielewi, nlidhani Shule ya chekechea.
Sasa panajengwa lakini :
Hakuna bango kuwa ni project gani?/nini wanajenga
Nani anajenga/ contractors
Client / mteja ni nani.
Yaani kwa ujinga wangu nilidhani pakijengwa vile lazima kuwe na details hata mpita njia ajue.
Naona panabadilika kimya kimya tu.
Au huenda sio eneo la kiwanda, kwa ujumla hapajaeleweka labda badae tuvute subira ajira za kiwanda zitatoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu eneo lile ni la kiwanda cha general tyre! Na ndiyo maana hata fence yao ina alama za matairi,nna pale mwisho karibu na BP ndipo lilipokuwepo jalala la kiwanda!nimekuwepo mitaa hiyo tangu utoto! Nimeokota sana mipira ya Manati pale!! Kuna kipindi Lowassa akiwa ccm aliwahi kuja pale na convoy lake,basi watu wakamshtua Lema kuwa kuna mafisadi wapo wanapanga yao,basi Lema akatia timu hapo na kuvuruga mipango na wazeiya wakaondoka kwa hasira huku wakiapa kumnyoosha Mh Lema!tokea hapo pakawa kimya! Sasa hivi nchi iko chini ya mtu mmoja! The ultimatum!! Hakuna wa kuhoji wala kupinga!! Tusubiri tu tuone kinachofanyika pale, kama pameuzwa pia tumshukuru mzeebaba magu! Maana sifa zote ni zake,mmoja tu aliye mkamilifu! Na wote tuseme Amen!
 
Inawezekana ni kambi ya wajenzi
Kambi ya wajenzi? Wanaojenga nini? Na baada ya hapo ninni kitaendelea pale? Au wanafanya kama walivyofanya pale kwenye soko la kilombero walipopauza juu kwa juu baada ya kuwadanganya wafanyabiashara wapishe stendi ya muda?
 
Back
Top Bottom