Gen Z wamepinda, cheka kidogo

Nimemkumbuka chemical Ali wa Iraq
Wamarekani walipomaliza misheni yao walimuacha huyo kiumbe kwa dharau sana.Siku Saddam ameondolewa na sanamu zake kuvunjwa mbele ya macho yake lakini jamaa bado alitoa taarifa potoshi.Girishon,what a chemical "Aly" of the modern era!πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Mhhh🀣🀣🀣🀣🀣🀣 hii ndo awamu ya sita
 
Hahahhahahahahaahahahahahaahaaaaaahahahhah.

Waandishi wa Habari makofi jamanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…