Gustanza_The
Senior Member
- Aug 6, 2008
- 126
- 7
Be careful na hiyo paper yako some of the JF sources are so questionable.. ni ushauri tu...
Sarakikya hajawahi kuhusishwa na kesi ya uhani. Kwa kifupi wanajeshi wa vyeo vya chini walitishia kupindua nchi punde tu baada ya uhuru wakikwera na uongozi wa Brigedia mwingereza na mshahara mdogo...
Sarakikya alistaafu kishujaa kama Meja Jenerali na kutokana na mchango wake mkubwa Mkapa alimpandisha kwa hesima mpaka Jenerali kamili cheo hata baada ya kuwa alishastaafu.Mtiririko wa yeye kupanda vyeo haujawahi tokea Tanzania na sidhani kama itajirudia.
So far, kuna Conspiracy theory inayomhusisha Sarakikya na njama za kumpindua Nyerere zilizofichuliwa na Marehemu Abdallah Twalipo wakati huo akiwa Kanali ambaye alimjulisha kawawa kwa siri na kawawa kumjulisha Mwalimu. Hiki ndo chanzo cha Sarakikya kupelekwa nje kuwa Balozi kwa kipindi chote cha utumishi wake kilichosaria, na pia Chanzo cha marehemu Abdallah Twalipo kuwa CDF.
Tuendelee na conspiracy theories zingine kama zipo...............
jokaKuu,
Hii ya Sarakikya kuondolewa jeshini haikuwa na mizengwe. Julius alimwita pale Msasani akampasha juu ya njama zake za kupindua serikali, Sarakikya akabaki mdomo wazi. Lakini ukiangalia taratibu, utaona Mkapa somehow aliwatafuta wote wale waliogombana na Nyerere, kukiwemo Bibi Titi, Mzee Fundikira, na kujaribu kuwasogeza karibu naye. Nimejiuliza juu ya hili na hitimisho langu bado siwezi kuliweka hapa.
Jasusi said:Hii ya Sarakikya kuondolewa jeshini haikuwa na mizengwe. Julius alimwita pale Msasani akampasha juu ya njama zake za kupindua serikali, Sarakikya akabaki mdomo wazi. Lakini ukiangalia taratibu, utaona Mkapa somehow aliwatafuta wote wale waliogombana na Nyerere, kukiwemo Bibi Titi, Mzee Fundikira, na kujaribu kuwasogeza karibu naye. Nimejiuliza juu ya hili na hitimisho langu bado siwezi kuliweka hapa.
NB:
..ni kitu gani kilimpelekea Sarakikya kutaka kufanya mapinduzi ya kijeshi?