Geita hatuna mbunge

Geita hatuna mbunge

Mkuu Sawabho hili ndio tatizo linalifanya Bunge letu liwe la kibiashara zaidi zaidi ya hoja..yaani mwenye pes ndiye anayestahili ubunge.Kuna rafiki yangu msomi mzuri na msomi mwenye track record nzuri ya utumishi wa umma amekwenda kutangaza nia kipindi hiki cha Krismas iliyopita akaulizwa ana milioni 200?Amerudi amekata tamaa anasema hataki tena mambo haya.

Mwambie Jamaa yako atulie, hawezi kupambana na kupata Ubunge kwa kutumia TGS........isitoshe akishapitishwa kazi hakuna tena, akipigwa chini hawezi kurudi job. Kwa mtumishi wa Umma wa kawaida kuwa na 200m hakuna haja ya kwenda kuziharibu kwenye hicho kinyang'anyiro, awekeze tu katika biashara.
 
Mmmh, kweli kazi ipo hapo, halafu nasikia huyu musukuma ana nia ya kugombea ubunge hapa geita mjini?? Ni ya kweli haya mambo? Najaribu kumshindanisha na rojaz hata cpati picha,
 
Back
Top Bottom