Geita: Baba ambaka bintiye wa kambo

Geita: Baba ambaka bintiye wa kambo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,286
Reaction score
10,831

abaka pc

Mtoto aliyebakwa

Jeshi la Polisi wilayani Geita linamshikilia Vicent Said (27) mkazi wa Kata ya Magenge kwa tuhuma za kumbaka mwanaye wa kambo mwenye umri wa miaka saba.

Tukio hilo limetokea Julai 2 katika Kijiji cha Sobora ambako mtuhumiwa anadaiwa kumrubuni mtoto huyo kwa maandazi na juisi ya Sh500.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Henry Mwaibambe amesema mtuhumiwa amekamatwa na atafikishwa mahakamani wakati wowote kuanzia sasa.

Kamanda amesema baada ya tukio hilo wapo watu wanaotaka kuharibu ushahidi ili mtuhumiwa aachiwe huru na kuwatahadharisha kuacha juhudi hizo mara moja kwani polisi hawatozifumbia macho ili haki itendeke.

Akizungumza na gazeti hili mtoto aliyefanyiwa kitendo hicho, alisema baba yake huyo amekuwa akimfanyia kitendo hicho mara kwa mara na pindi anapomfanyia humfunga mdomo na akimaliza humnunulia maandazi na juisi.

MWANANCHI
 
Bad people are every where
Read very carefully before you attempt any question.
I know that bad people are found everywhere.
My question is....
CAN ANYTHING GOOD COME OUT OF GEITA??

Angalia
"Similar discussions about Geita"
 
Toa maksi kaka, kama ni zero nijue
Time is short
 
Pole kwa mtoto na mama ake, adi kufikia kuipeleka hii issue mbele ni mengi mama mtu amevumilia (akidanganywa kumlindia heshima mumewe) huku mwanae anaharibiwa via vya uzazi.......na mama mtu atapigana vita na familia ya mume hakuna rangi ataacha kuona!
 
abaka pc

Mtoto aliyebakwa

Jeshi la Polisi wilayani Geita linamshikilia Vicent Said (27) mkazi wa Kata ya Magenge kwa tuhuma za kumbaka mwanaye wa kambo mwenye umri wa miaka saba.

Tukio hilo limetokea Julai 2 katika Kijiji cha Sobora ambako mtuhumiwa anadaiwa kumrubuni mtoto huyo kwa maandazi na juisi ya Sh500.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Henry Mwaibambe amesema mtuhumiwa amekamatwa na atafikishwa mahakamani wakati wowote kuanzia sasa.

Kamanda amesema baada ya tukio hilo wapo watu wanaotaka kuharibu ushahidi ili mtuhumiwa aachiwe huru na kuwatahadharisha kuacha juhudi hizo mara moja kwani polisi hawatozifumbia macho ili haki itendeke.

Akizungumza na gazeti hili mtoto aliyefanyiwa kitendo hicho, alisema baba yake huyo amekuwa akimfanyia kitendo hicho mara kwa mara na pindi anapomfanyia humfunga mdomo na akimaliza humnunulia maandazi na juisi.

MWANANCHI
Sad bad dad
 
wakulaumiwa ni mke wake na wanawake wengine walio wachoyo wa kutoa kitafunwa kwa waume zao.

Wanawake acheni dhambi ya kubania waume zenu utamu, mpaka kupelekea matatizo ya kubaka watoto wadogo. Hivi wanawake mliolewa ili mkawe mapambo au mkashughulike?

Huyu mwanamke wa mtoto aliyebakwa, mke wa mtuhumiwa yaonesha dhahiri kabisa alikuwa anambania mumewe utamu au hakuwa anamridhisha mumewe na matokeo yake ndo kama ilivyokuwa.

Wanawake acheni kubania waume zenu, hamkuolewa kuwa mapambo, na unapompatia mumeo akikisha unakata uno haswaaaaa!!! na ushughulike ili kuepusha haya yanayotokea. Mara kubaka, mara michepuko, mara kufumaniwa.
 
Akili yako mbovu! Mibaba mingine imezidiwa na tamaa za mwili, anatoka kwa mkewe bado anamfuata binti, au hulijui hilo?
 
inabidi wanawake wapewe semina yao maalumu. Kuna wanawake ni magogo vitandani ndo maana michepuko imechukua nafasi zao.
 
Dah! hapa nafikiria ujinga haina haja wa kumpeleka jela watu kama hao wana hasiwa tu kisha anaachiwa akihisi nyege atakuwa anafirwa yeye tunajaza magerezani wapumbavu kama hao mzigo kwa kodi zetu.
 
Back
Top Bottom