GBInstagram ni Tamu kuliko Instagram

GBInstagram ni Tamu kuliko Instagram

ngoja siku developer awabadilikie mpoteze accounts zenu.
 
Habari za Muda Huu WanaJF ..Leo nimeona nishare kidogo hii App mpya ya GBinstagram kuna wengine mmekutana nayo lakini
wengine Bado ...Hii App Imetengenezwa na Developer aliedesign App ya GBWhatsApp...

Kwanini Utumie GBinstagram na siyo Instagram (official)??

•Ina uwezo wa kudownload Picha,Videos,Stories n.k Bila kutumia application Mbadala Like Insta Downloader, Yenyewe inajitegemea ....Lakini Official instagram haina uwezo huo..

•Ina uwezo wa kucopy text na Comments... Lakini Official haiwezi

•Ina uwezo Ku-run account zaidi ya 1.. Yani kuswitch Account.. Yani mfano una account mbili za instagram basi unaweza kutumia kwa App moja Ya GBinstagram bila kulogout ile ya mwanzo nikama ilivyo facebook kwa sasa ...Official bado haina uwezo huo

•Ina uwezo wa kuonyesha link ulizoshare na mtu mwingine akaziclick (blue link) ..official Bado hawana feature hiyo

•Ina uwezo wa kuzoom picha au video... Official sidhani kama ina huu uwezo....

•ina uwezo wa kutafsiri Lugha mfano Umetumiwa meseji ya Kiarabu unataka uisome kwa kiingereza .... Official bado

•Mengine mengii ....

=Kwahiyo wew mwenyewe utapenda utumie ipi ... Kazi kwakoooo

Kwa wapenzi wa GBWhatsapp najua lazima mtaipenda GBinstagram.....

Download Hiyo APK hapa
GBInstagram V1.50 >>>>>www.gbmods.com

kuna hii pia

GBinstagram+ V1.50 www.gbmods.com


View attachment 811925

NB:: Hii haina utofauti na Instagram yako unatumia account ya instagram kulogin hakuna kitu utakachokipoteza nikama vile unavyotumia Facebook Lite badala ya kutumia Facebook official App....Ina muonekano ule ule wa instagram ila yenyewe imeongezewa feature nyingi .. Watumiaji wake ni wale wale wa instagram na sio unatumia acc tofauti na ya insta..
Kwenye kuswitch Account hata instagram ya kawaida inafanya. Ni mwaka wa pili huu natumia accounts 3 kwenye app moja.
 
Mimi naitumia pia. Nililazimika kuitafuta kwasababu huwa napenda kupakua video za Instagram.
 
Inachoniboa ni kwamba inahitaji update mara kwa mara usipoupdate haifunguki.
Ndio kinachoboa hiko hata GBWhatsapp ni hivyo hivyo. Inakera halafu bora update ingekuwa directly. Kila wakati unalazimika kwenda kwenye website yao na kiarabu kingi.
 
Vipi kwenye usalama,maana hii tunayotumia server iko majuu hii server iko wapi?
 
Naona jamaa amekubali kurudisha mpira kwa kipa,inatoka siku hizi nayo ni kwa hisani ya facebook.
 
Back
Top Bottom