simango Member Oct 20, 2014 94 34 May 16, 2017 #1 msaada application ya GB whatsApp inayosupport kwenye iphone 5s
lunatic Member Sep 24, 2016 63 19 May 16, 2017 #3 braza hayo mambo ISo hakunaaa... android ndo yanawezekana....
zeromagic Senior Member Sep 14, 2016 186 67 May 17, 2017 #5 inawezekana kwa walio jailbreak simu zao wakaweza kudownload apps nje ya appstore
PlayBoyMwema JF-Expert Member Jul 27, 2014 1,714 1,829 May 17, 2017 #6 iphone hakuna gbwhatsapp ila kuna whatsapp++..ila inashauriwa uwe umejailbreak device yako