GB 30 kwa 100/=

GB 30 kwa 100/=

hilo bundle kikomo chake ni 1GB

wakuu sio kwamba nawatania Mimi kudownload movies nimeanza kitambo sana kwa kutumia hiyo hiyo bila kikomo na muvi ninazo download ni zile zenye quality ya juu..huwa movie nying ninazodownload zina anza na 700mb,900, 1gb,2gb na kuendelea.ngoja nitaapload picha muone.
 
Duh, movie kumi??? Au episodes 10??. Coz, hata huko kickass.to kwenyewe movie ya ukubwa mdogo sana labda ya 780Mb na hapo ni quality ya 720p. Sasa mkuu na hii bila kikomo ya 1Gb ambayo spidi yake inaanza shuka ukishatumia 700Mb inakuaje hapo?. Ila sikubishii coz labda kuna namna unafanya!!!

mkuu ni movie kumi kwa bahati mbaya Mimi sio mpenzi wa episodes.trust me kwa bila kikomo huwa nadownload movies zenye quality nzuri 1080p ( very clear) na huwa na ukubwa wa kuanzumia 900mb,1gb,2gb na kuendelea..!! labda kuna factors zinazofanya nidownload movies nyingi..kama umegundua movies za baadhi ya uploaders kama YIFY na zingine huwa fastar hata kama ni 2gb ndani ya dk 10 imekwisha..huwa nahamishia kwenye PC then nacheki movies ninazo movies kibao.
 
wakuu sio kwamba nawatania Mimi kudownload movies nimeanza kitambo sana kwa kutumia hiyo hiyo bila kikomo na muvi ninazo download ni zile zenye quality ya juu..huwa movie nying ninazodownload zina anza na 700mb,900, 1gb,2gb na kuendelea.ngoja nitaapload picha muone.

mkuu inabidi niamini tu japo mimi nikiunga hilo bundle huwa napewa 1GB,
au kama vipi mkuu jaribu kuelezea procedures za kupata hilo bundle may be ni something new naweza kujifunza
 
MKUU NAOMBA UNiELEKEZE NAMNA YA KU DOWNLOAD MOVIE HASA ZA YOUTUBE,, ZIKABAKI KWENYE MEMORY CARD, KWA HIZI SMARTPHONE!

Download videoder nje ya playstore au vidmate .....utapata video ambazo ubora wake unatishia amani...
 
Tatizo nikichukua movie kupitia torrent engine search nikidownload zingine zinakuwa hazi play kwenye window media player zina play VLC tu nako zinakuwa na ukungu sana hazipo clear tatizo nn
Tatizo pale unapochagua movie torrent angalia kama ni DVDRip au kama ni Cam, kuna formats za aina nyingi torrent, pendelea kudownload movies zenye quality ya 720 na kuendelea. Unapochagua muvi ukishaiona kwenye results ifungue link yake then soma descriptions. Torrents ni sehemu ambayo kila mtu anaweza akaweka movies zake, wengine wanarecord movies za maonyesho kwenye ukumbi wa muvi na kushare torrent hasa pale kama movie ni mpya na bado haijaanza kusambaa, inavujishwa na watu kwa kurecord first release yake na movies hizo haziutwi so ukija next time unatakiwa utafute format nyingine. Kama unapenda movies mpya na zenye quality subiri kama baada ya wiki moja movie ikishatoka then search na soma maelezo yake, angalia format. Usikimbilie kudownload kama hujasoma maelezo.

Pia pendelea kutazama movies na VLC kwani inaweza kusoma quality na subtitle vyema zaidi ya Media Player ya windows. Ukidownload movie torrent unaweza kupata na subtitle hivyo tumia version mpya/current ya VLC then download movies zenye quality na subtitle. Enjoy.
 
mkuu ni movie kumi kwa bahati mbaya Mimi sio mpenzi wa episodes.trust me kwa bila kikomo huwa nadownload movies zenye quality nzuri 1080p ( very clear) na huwa na ukubwa wa kuanzumia 900mb,1gb,2gb na kuendelea..!! labda kuna factors zinazofanya nidownload movies nyingi..kama umegundua movies za baadhi ya uploaders kama YIFY na zingine huwa fastar hata kama ni 2gb ndani ya dk 10 imekwisha..huwa nahamishia kwenye PC then nacheki movies ninazo movies kibao.

Mkuu inaweza pia ikawa kweli, coz movie za YIFY mara nyingi sana zinakuwa na "Seeders" (hawa ni wenzako wanaokuwa wana'download huku wanaachia torrent client softwares zao e.g. uTorrent, BitTorrent, nk kuendelea ku'upload the same magnetic link) wengi kuliko "Leeches" (hawa ndo wale wanaodownload huku wamezuia torrent clients zao zisiupload ili waweze kudownload fasta hawa ndo wanyonyaji).

Simply, kama ukikuta movies unazodownload toka YIFY zinakuwa na Seeders wengi kuliko Leeches bas kuna uwezekano wa kudownload faster. Japo factor zingine nazo zinachangia.
 
Mkuu Triple G unatumia torrent app gani kwa phone?? (coz labda ina kaufanisi cha nyongeza na mimi nijaribu)
 
Last edited by a moderator:
Tatizo pale unapochagua movie torrent angalia kama ni DVDRip au kama ni Cam, kuna formats za aina nyingi torrent, pendelea kudownload movies zenye quality ya 720 na kuendelea. Unapochagua muvi ukishaiona kwenye results ifungue link yake then soma descriptions. Torrents ni sehemu ambayo kila mtu anaweza akaweka movies zake, wengine wanarecord movies za maonyesho kwenye ukumbi wa muvi na kushare torrent hasa pale kama movie ni mpya na bado haijaanza kusambaa, inavujishwa na watu kwa kurecord first release yake na movies hizo haziutwi so ukija next time unatakiwa utafute format nyingine. Kama unapenda movies mpya na zenye quality subiri kama baada ya wiki moja movie ikishatoka then search na soma maelezo yake, angalia format. Usikimbilie kudownload kama hujasoma maelezo.

Pia pendelea kutazama movies na VLC kwani inaweza kusoma quality na subtitle vyema zaidi ya Media Player ya windows. Ukidownload movie torrent unaweza kupata na subtitle hivyo tumia version mpya/current ya VLC then download movies zenye quality na subtitle. Enjoy.

Pia KMPlayer ni nzuri kwa kuplay movi na subtitle zake. Cha muhimu tu ukumbuke Ku drag pia subtitle file. Pia unaweza Ku download movie bila subtitle na uka search na Ku download subtitle separate
 
Back
Top Bottom