GB 30 kwa 100/=

GB 30 kwa 100/=

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,676
Tigo kuna mambo wananikera lakini kwa hili tangu nilijue wamenikuna kwa kweli ngoja niwapeni

Mimi nimeweka sh.1000/= na nikajiunga kile kifurushi cha GB 30 naanza kuzitumia sa tano usiku hadi sa kumi ba moja asubuhi aisee na nimefundishwa kutumia utorrent na mmoja ya mdau humu anaitwa kcamp basi nina enjoy sana nina pakua movie zisizo na idadi na internet ipo speed hatari

Nachokifanya na connect simu angu kwenye PC through USB tethering den sa tano hio nakuwa na movie zangu kama ni 20 naacha zinapakuliwa nikiamka sa kumi na moja nakuta ni complete na streem nafanya mambo mengi kiukweli huwa sizi malizi lakini nacho fanya kabla ya mda wa kifurushi kuisha naunga tena bas hata zile zingne zinaendelea

Nimekuja kushare na nyie hapa wale wazee wa internet hii kitu iko poa
 
Last edited by a moderator:
Mambo ndo haya zinadumu kwa siku mbili kabla hazijaisha naweka tena
 
Attachments

  • 1429297290847.jpg
    1429297290847.jpg
    38.6 KB · Views: 1,498
MKUU NAOMBA UNiELEKEZE NAMNA YA KU DOWNLOAD MOVIE HASA ZA YOUTUBE,, ZIKABAKI KWENYE MEMORY CARD, KWA HIZI SMARTPHONE!
 
Njia nilio kuwa naifaham mm ni unasearch video youtube halafu ikisha kuja kule juu utaona link ya hio video imeanza na http/www.youtube inaendelea sasa una edit inakuwa ssyoutube baladala ya http/www then una enter itakuja udownloa

Njia nyingne install tubemate
 
MKUU NAOMBA UNiELEKEZE NAMNA YA KU DOWNLOAD MOVIE HASA ZA YOUTUBE,, ZIKABAKI KWENYE MEMORY CARD, KWA HIZI SMARTPHONE!
Download tubemate mkuu...ipo kama youtube application ila yenyewe inauwez wa kudownload video.
 
Tigo kuna mambo wananikera lakini kwa hili tangu nilijue wamenikuna kwa kweli ngoja niwapeni

Mimi nimeweka sh.1000/= na nikajiunga kile kifurushi cha GB 30 naanza kuzitumia sa tano usiku hadi sa kumi ba moja asubuhi aisee na nimefundishwa kutumia utorrent na mmoja ya mdau humu anaitwa kcamp basi nina enjoy sana nina pakua movie zisizo na idadi na internet ipo speed hatari

Nachokifanya na connect simu angu kwenye PC through USB tethering den sa tano hio nakuwa na movie zangu kama ni 20 naacha zinapakuliwa nikiamka sa kumi na moja nakuta ni complete na streem nafanya mambo mengi kiukweli huwa sizi malizi lakini nacho fanya kabla ya mda wa kifurushi kuisha naunga tena bas hata zile zingne zinaendelea

Nimekuja kushare na nyie hapa wale wazee wa internet hii kitu iko poa

mkuu naomba unielekeze jinsi ya kudownload movie kupitia u torrent
 
Mkuu...title ya thread yako haiko sawa..
 
Huu ni mwaka wa tatu watu tunafanya haya. We ndio umeingia town nini?
 
Last edited by a moderator:
mkuu naomba unielekeze jinsi ya kudownload movie kupitia u torrent

Download utorrent instal nenda kickass.to search movie ikifunguka chagua unayo taka click itafunguka den check neno download torrent click hilo neno utakuwa umemaliza mchezo utadownload
 
Tigo kuna mambo wananikera lakini kwa hili tangu nilijue wamenikuna kwa kweli ngoja niwapeni

Mimi nimeweka sh.1000/= na nikajiunga kile kifurushi cha GB 30 naanza kuzitumia sa tano usiku hadi sa kumi ba moja asubuhi aisee na nimefundishwa kutumia utorrent na mmoja ya mdau humu anaitwa kcamp basi nina enjoy sana nina pakua movie zisizo na idadi na internet ipo speed hatari

Nachokifanya na connect simu angu kwenye PC through USB tethering den sa tano hio nakuwa na movie zangu kama ni 20 naacha zinapakuliwa nikiamka sa kumi na moja nakuta ni complete na streem nafanya mambo mengi kiukweli huwa sizi malizi lakini nacho fanya kabla ya mda wa kifurushi kuisha naunga tena bas hata zile zingne zinaendelea

Nimekuja kushare na nyie hapa wale wazee wa internet hii kitu iko poa
Hiyo speed inategemea na eneo ulipo....kuna watu wako mjini hapa na wako covering ya 3G lakin kufungua page tu ni shida hasa kipindi cha mchana....
 
Last edited by a moderator:
MKUU NAOMBA UNiELEKEZE NAMNA YA KU DOWNLOAD MOVIE HASA ZA YOUTUBE,, ZIKABAKI KWENYE MEMORY CARD, KWA HIZI SMARTPHONE!

Download Mozilla Firefox browser then ifungue nenda tools > addons kisha search ''YouTube downloader'' idownload hiyo addon ikimaliza install, alafu restart browser yako(Firefox).

Ingia Youtube, search video iplay hiyo video ikiwa inacheza utaona Link ya kudownload ipo tofauti na hili ya kawaida ya youtube, ibofye.. enjoy
 
Download utorrent instal nenda kickass.to search movie ikifunguka chagua unayo taka click itafunguka den check neno download torrent click hilo neno utakuwa umemaliza mchezo utadownload

Kusearch torrent files tumia torrentz search inakupa option tofauti ya kupata unachotaka kuliko kutumia kickass tu.
 
Hao wengine wanakuzungusha mpaka unafurahi mwenyewe kickass ndo hawana longolongo hata kidogo
 
Niliingia nikitaka kujua hii ambayo itakuwa ni mpya kwangu ya GB 30 kwa 100/= 😏
 
MKUU NAOMBA UNiELEKEZE NAMNA YA KU DOWNLOAD MOVIE HASA ZA YOUTUBE,, ZIKABAKI KWENYE MEMORY CARD, KWA HIZI SMARTPHONE!
Usichukue videos za YouTube, Hazina Quality, Tumia Torrents kuchukua movies za high qualities.
 
Msaada, sim imelock vp naweza kufungua bila kuflash?? Naogopa kuflash nitapoteza kumbukumbu zangu, msaada wadau.
 
Voda kuna Internet bila kikomo shilingi elf 1 kwa Massa 24.
 
Back
Top Bottom