Gazeti laingia matatani kwa kuweka picha ya Mkapa na Kikwete kwenye habari ya kashfa ya madini

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Waziri wa habari na sanaa Harrison Mwakyembe amesema ameliita gazeti moja baada ya kuona limeandika taarifa ya kuwahusisha Kikwete na Mkapa kwenye kashfa ya madini wakati taarifa ya kamati haikuwataja
Gazeti hilo limenukuu taarifa ya kamati kisha kuweka picha za watu 8 waliohusishwa pamaoja na picha za rais Mkapa na Kikwete na kuandika kichwa cha habari 'HAWA HAWANUSURIKI' jambo ambalo ni upotoshaji

 
NI MARUFUKU KWA WATUKUFU MARAISI WASTAAFU KUWEKWA KWENYE KURASA ZA MBELE ZA MAGAZETI.HIVI HII NAYO IKO KWENYE SHERIA KWELI???
 
Ndio maana wengine hata huyo Magufuli huwa hatumkubali-CCM ni ile ile.

Tundu Lissu nitakuunga mkono kila siku.
Unamuunga mkono Lissu kwa kuwa roho inakuuma sana unapokohoa wengine hatukohoi. Vita ya Magufuli dhidi ya ufisadi haijawahi kuwaacha nyie salama.
 
Back
Top Bottom