Gazeti la UHURU mnalipenda wenyewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la UHURU mnalipenda wenyewe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Satanic_Verses, Sep 6, 2011.

 1. S

  Satanic_Verses Member

  #1
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli tangu vyama vingi vimeingia gazeti la UHURU limekuwa likipingua na hatimaye kukosa kabisa wasomaji. Lakini kwa kunagalia thread za humu unaweza kubaini linavyoweza kupata wasomaji.

  Mtu anaansisha thread vizuri tu na wachangiaji wanaenda na mfululizo vizuri pia. Lakini ghafla anatokea mtu kama Ritz ambaye huhitaji kujua ni mpenzi wa gazeti la UHURU. Pamoja na kumjua hivyo lakini anachokitoa hata kama tunajua ni katika kuvuruga thread na kweli anawapata watu wengi wa kujibizana naye tena wakongwe wenye uzoefu wa thread zaidi ya 50.

  Ni wazi wapenzi wa UHURU wanajua kuwa gazeti lao si mali kitu. Na kwa kutambua hivyo wameamua kuja rundo JF wakijua huko wasomaji wapo.

  Ushauri ni kwamba kwa nini wasitafutiwe thread ya kuwa-list ili wawe ignorable kwamba mtu akiona post hana haja a kusoma aendelee na post zinazojadilika.

  Nawaslisha.
   
Loading...