Nelson Masaduki
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 346
- 380
Was-salaam!
Gazeti la THE NEW TIMES limechapisha taarifa ya kumpongeza Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. Katika toleo lao la tarehe 26/06/2019, Wahariri walikuwa wanachambua suala la uwezezaji ambao huhatarisha maslahi ya nchi ambazo zinategemea misaada kutoka katika mataifa makubwa na taasisi kubwa kama World Bank.
Pongezi kwa Rais Magufuli zimeonesha umakini katika kufanya maamuzi yenye tija kwa nchi. Nanukuu "Hivi karibuni, Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amesema kwamba amefuta mkataba uliosainiwa na utawala uliopita wa kujenga bandari mpya. Alisema kuwa mpango huo ulikuwa sawa na kuuza nchi kwa nguvu za kigeni.Nchi nyingi zimeanguka katika mtego wa kupata kile wanachofikiri ni fedha rahisi kuwekeza wakati mwingine katika miradi ya ubatili, na hivyo kuingia ndani ya deni lisilostahili."
Tumwombee Rais wetu aendelee kufanya mageuzi makubwa ya Kiuchumi.
Nelson,
London.