Gazeti la Tanzania Yetu linauzwa

Gazeti la Tanzania Yetu linauzwa

Son of God

Member
Joined
Sep 15, 2009
Posts
12
Reaction score
8
Gazeti la Tanzania Yetu linauzwa.
Mnunuzi serious awasiliane wahusika 0785 400 200.
IMG-20230626-WA0000.jpg
 
500 au nyie bei ni zaidi ya 500 tufahamishe tafadhari
 
Mnauza kipeperushi cha ccm Nani atanunua?
Halina wasomaji zaidi ya 30 Kwa siku!
 
Kada yeyote wa chama chochote cha siasa hata wa chadema na act wazalendo anaweza kulinunua awe anaandika mambo ya chama chake. Mwanahalisi limerudi mtaani, wanasema hawajapoa wako vilevile kana kwamba hawoni mabadiliko ya uongozi wa nchi. Wakitaka kiki waandike ishu ya bandari kinagaubaga ndio wataonekana hawajapoa
 
Biashara ya magazeti ilivurugika wakati wa utawala wa awamu ya 5, pale magazeti mengi yalipoamua kuunga mkono juhudi! Huku yale yaliyokomaa, yakifungiwa.

Ni kuanzia wakati huo, ndipo wananchi wengi walisusa kununua magazeti! Na matokeo yake ndiyo haya sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom