Gazeti la Tanzania Daima latoka kifungoni baada ya kufungiwa kwa siku 90

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,897
tanzania daima.jpg
 
Saw ila muende mkaombe mambo mnayopaswa kuandika mpewe maana mnaweza kuendelea kuandika kumbe hayo mambo hayatakiwi kwa wakati huu labda msubili miaka ijayo ila sio kwa sasa
 
Kweli mnawapima watu kujua mapenzi yao kwa gazeti hilo. Uliipata wapi hiyo barua?? Huoni ni ya kufunguliwa kwa gazeti hilo mwaka jana?? Poleni sana mtaendelea kulisotea
 
kama unaongoza nchi kwa haki kwa nini haya ya kufungia fungia wakati mahakimu wapo wapiga kura?
 
Mbowe atakuwa Makini Kama Mzee Mengi

Mwenzie Mzee Mengi akiona kakosea anawahi kujifungua kuogopa Ugomvi na Bwana Mkubwa!
 
Kweli mnawapima watu kujua mapenzi yao kwa gazeti hilo. Uliipata wapi hiyo barua?? Huoni ni ya kufunguliwa kwa gazeti hilo mwaka jana?? Poleni sana mtaendelea kulisotea
Mbona muhuri umepigwa chapa ya tarehe ya mwaka 2018? Najua unaumia sana rohoni kukubali kuwa wazee wa Ufipa wamekosea detail muhimu kama mwaka. Je hiyo inaonyesha kuwa mwandishi wa hilo tangazo ndiye aliyelichapa na kulihariri?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom