Gazeti la Sauti Huru: CHADEMA Asili mbioni kusajiliwa!


Relax muungwana, those guys have already sacrificed a lot for this revolution to let it go to the dogs at this juncture; hilo ni sawa na kutarajia Baba mtakatifu Benedict 16 kubadili dini awe mwislamu, hakuna kitu kama hicho, endelea kuongoza mabadiliko kutokea mahali ulipo, manahodha wa meli ya CDM wako imara na hawateteleka kwa lolote.
 
Ukirejea kauli ya mbowe aliposema kuwa amejiandaa kisaikolojia kufa kwa ajili ya kupigania haki na akifa wakati akiwa kwenye mapambano alisema kuwa chukuweni maiti iwekeni pembeni ninyi songene mbele kwani kwenye chama wapiganaji ni wengi.
 

Hizi ni ndoto za Alinacha watahamia wapi? alafu ukumbuke kitu kimoja watu wamechoka na the so called CCM hata Slaa akienda CCM makali ya Chadema yataendelea na Slaa ndo utakuwa mwisho wake, usichezee hasira za watu dhidi ya CCM wewe, hivi umewahi kujiuliza Kwanini watu wanaendelea kuichukia CCM japo ina watu kama Magufuli, Mwakyembe nakadhalika
 
mkubwa!mimi ninamapenzi na msimamo wa chama,msimamo wa chama unapokua imara ndio unaweza kuwaona watu kama shibuda,na pia utawaona wale mamruki kama Chitambala(aliyekua mgombea ubunge mbeya vijijini) alikimbia mapema asubuhi.

Kwangu mimi nina mapenzi na chama,hata waondokd wote hao bado chadema itabaki kua chadema.hivi kabla ya mnyika,wenje,lissu kugombea ulikua unawajua?nataka nikwambie wapo vichwa wanakuja si mchezo.kunakichwa kinamyima magufuri usingizi unakijua?
 

Tayari CDM imeshajibrand vya kutosha..sasa hivi jina TU linakiuza chama...watu wanahamia cdm sio kwa ajili ya viongozi wake, bali miongozo iliyowekwa na waasisi wake, ambayo ndio dira na mwongozo wa cdm. hata hao wakiohama leo, cdm itashine tu, na kuchukua nchi.
 
CHADEMA itasimama tu, kwani sio chama kinachomilikiwa na mtu, hiyo ni taasisi.
 
Wabongo bana? #$@%$#%$%^$^&$ %$%^$^&%^&$^&%^&%%*%^&$%^r*%(^*$%#$%$^$#%$#$@#$%$^&$#%^$&*(^*&)*^^&%%#%$&*%&*%(^#$@#%&*%$%^#%^$%&*%#%(&*^)&*&%#%*(&))_)&%#$#%&*^&*%^&#$#$(*()*&@#$&&*()&^%@#$$%^&_)_(*&@%^&__)(&^#$)(*&^&
Nini sasa hii???? Unaijaza server ya watu pasipo sababu!
 

Hii yote ni kwasababu ya pombe za mwisho wa mwezi! Kanywe supu ya paya ndo akili yako itakaa vizuri. Kweli penye riziki hapakosi majungu.
 
Hata wakihama wote, Shibuda yupo na alishasema yeye ndio Rais 2015 kwahiyo usihofu, CDM haitakufa.
 

Hee!!Umerudi,si ulikuwa shoe shinner wa Wa Edward Ngoyay Low-hasa,na uliiba fyatu fya mteja,ukafungwa miaka mbili.Na ile malaria sugu umepooza au umepona.
 
Imagine ndo wapo kwenye ndege halafu ikawa Lagos (Mungu aiepushe) ndo tuseme na wewe safari yako ya ukombozi itakuwa imefika mwisho? Ni ukweli kwamba wamefanya kazi nzuri ya kuijenga chama, na watakaofuatia wanaanzia walipofikia
 
sikuona mkuu kama ni "INGEKUWA".
The unseen is illustrated by the seen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…