Mbona ujui ata kuandika title? Ume soma shule gani? Kwani title yako isiwe hivi
"itakuwaje kama mbowe,slaa,mnyika wakihama cdm? " kinyume na hapo umefanya utoto ambao sikutegemea, yan nilidhan na soma gazeti la sani kumbe jf!
Tafadhali jifunze kwa wenzio.
NB:This is home of great thinkers
Linamilikiwa na Subash Patel pale MM Integrated, Kijitonyama. Subash wa kashfa ya Chavda, rafiki na Jeetu Patel wa EPA. Jamaa anazo kwelikweli. Alitajwa na Mzee Mengi kuwa kati ya mapapa wa ufisadi.
Ni yule aliyeshirikiana na Lowassa wakauziana jengo la Umoja wa Vijana wa magamba Nape hakuona ngawira zilipitia wapi, ndo akaanza fujo UV magamba mpaka akakosana na rafiki wa marehemu baba yake Mzee Makamba! Kumbukeni msiba wa marehemu mzee Moses Nnauye ulikuwa kwa Makamba jijini.
Ndiye mwenye maghorofa yale mawili pale UV Magamba. Ana kampuni inaitwa Estim inapata tenda nyingi sana serikalini. Inamjengea nyumba mtu mmoja pale magogoni. Ni mwenyekiti wa Mfuko wa maendeleo ya Bagamoyo! nk..nk..nk..nk..kila palipo na pesa kwenye serikali ya magamba, Subash yupo.
Hilo gazeti lilianzishwa kupambana na Mengi, lilipomaliza kazi hiyo ya kumchafua Mengi, likaanza kazi ya kuwafurahisha magamba. Kila siku lina habari za CDM, ni la propaganda kuliko hata Uhuru na Mzalendo.
Mhariri wake aliwahi kukamatwa na rushwa mara kadhaa....
Na bado utabaki mwenywe uchagani,sisi wasukuma tuko na shibuda.Tatizo CDM tuna baadhi ya wanachama ambao ni wapumbavu na wamelewa na mahaba mazito hata wanashindwa kutoa mawazo yenye changamoto ili kuandaa watu kuwa tayar kwa mabadiliko na nimesema haya kwa sababu ni mwanabadiliko wa kweli na sio wapuuzi ambao mnashabikia tu pasipo kutoa mawazo yenu...... Period
kweli kuna haja ya ile chadema asili iliyokuwepo enzi za uchaguzi 1995. Hapo namkumbuka enzi hizo dr kabour alikuwa tishio kubwa pale kwetu kg alikuwa president. Kweli zitto irudisheni ile
gazeti huwa silielewi kabisa, hebu cheki heading yao ya leo.
View attachment 55583
View attachment 55584
hivi kweli kuna ukweli katika haya wanasema au ni uzushi na majungu tu?
Picha zote kwa hisani ya mjengwablog.
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuamini ujinga kama huu. CCM mtakukuruka sana lakini hamtoki watanganyika wamewachoka mno.
Naunga mkono hoja! Kuna haja ya kuwa na CDM isyoegemea DINI fulani au UKANDA fulani