Gazeti La Mwananchi latoweka

Manosa

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
4,510
3,589
Habari siyo rasmi kuhusu kutoweka kwa gazeti la Mwananchi siku ya leo,Ikumbukwe hii ni mara ya pili kwa wiki hii hili gazeti pendwa kutoonekana mtaani,

Mwenye ufukunuku zaidi au kanusho karibuni
 
Nashangaa hata online halijawa updated mpaka sasa.
Ipo version ya jana wakati huwa wanaupdate saa 3asbh!
 
Unatafuta sahizi? Hilo gazeti linauzika sn, nitafute nikupe nakala mm nimeshamaliza kusoma
 
Back
Top Bottom