Gazeti la Mwanahalisi kuingia mtaani Jumatano hii

Gazeti la Mwanahalisi kuingia mtaani Jumatano hii

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
26,541
Reaction score
61,992
Gazeti la Mwanahalisi linalomilikiwa na Saed Kubenea linatarajiwa kuingia mtaani/sokoni siku ya jumatano hii mara baada ya kufunguliwa na mahakama kutoka kifungoni.

Kuna mdau amenitonya kuwa moja ya habari kuu wiki hii itakuwa ni kilichopo nyuma ya pazia kuhusu Azam Tv kuzuiwa kusoma taarifa ya habari.

Tutegemee nini ujio mpya wa gazeti hili lililotamba enzi zile za Jakaya?
 
Nyaronyo Mwita Kicheere alikuwa anaandika makala za aina yake ktk gazeti hili. Sijui yuko wapi siku hizi?
 
Back
Top Bottom