Gazeti la Jamhuri: Zitto ANYUKWA, Ndege mpya iliyonunuliwa ikiendelea Kutengenezwa

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
New-Doc-2017-05-09_9.jpg
 
Kama ninkweli hiyo ni ndege yetu, basi Nadhani kuna mchezo umeshachezwa hapa, baaada ya Kelele naona wameamua kuachana na lile bomu la "Terrible Teen" Prof. mbalawa alisema ndege iko tayari wapo kwenye mchakato wa Kuchagua engine gani ndio itumike, lakini hii inaonekana ni mpya kabisa, na sidhani kama itakuwa 787-8 kama tulibyoambiwa, nadhani hii itakuwa 787-9
 
Asaidiane na Mange, na wengine wote humu wanaisema hiyo ndege ni Terrible Teen No 19 na sio Boeing 787 - 800 line number 719. Kwa mujibu wa hilo gazeti hiyo picha imepigwa jumamosi Iliyopita.
Mkuu nimekuelewa sana nasema ngoja tusubiri majibu ya Zitto..picha kupigwa Jumamosi sio issue.Kwani hiyo picha imejiandika kwamba hio ni ndege yetu?
 
Kama ninkweli hiyo ni ndege yetu, basi Nadhani kuna mchezo umeshachezwa hapa, baaada ya Kelele naona wameamua kuachana na lile bomu la "Terrible Teen" Prof. mbalawa alisema ndege iko tayari wapo kwenye mchakato wa Kuchagua engine gani ndio itumike, lakini hii inaonekana ni mpya kabisa, na sidhani kama itakuwa 787-8 kama tulibyoambiwa, nadhani hii itakuwa 787-9
Mkuu umejenga hoja vyema kabisa..Kwa maelezo ya Mbarawa na muda ambao tuliambiwa ndege itakabidhiwa na hali halisi ya picha iliyipigwa Jumamosi hii mi napata ukakasi
 
Endeleeni kushangaa upuuz huo huku hata kidonge hospitals zetu hakuna mwafwaa!
Hata Mungu mwenyewe hutekeleza kadri ya mapenzi yake, ije iwe binadamu? Matatizo/changamoto huwa haziishi, tulikuwa na changamoto ya sekta ya usafirishaji kwa njia ya anga walau imetatuliwa, tutafika hiyo ya vidonge, maji masafi, umeme nk, Taifa la marekani lina zaidi ya miaka 200 toka lipate uhuru, maendelea hayawekewi amila na ukute yameumuka asubuhi mkuu
 
Kama ninkweli hiyo ni ndege yetu, basi Nadhani kuna mchezo umeshachezwa hapa, baaada ya Kelele naona wameamua kuachana na lile bomu la "Terrible Teen" Prof. mbalawa alisema ndege iko tayari wapo kwenye mchakato wa Kuchagua engine gani ndio itumike, lakini hii inaonekana ni mpya kabisa, na sidhani kama itakuwa 787-8 kama tulibyoambiwa, nadhani hii itakuwa 787-9
Tatizo ni uthibitisho usio na shaka kutoka kwenye official sources kwamba ile tulionunua ni TT. Kwa nini Uzushi unofficial news zinakuwa na nguvu kuliko kuwa wavumilivu kuona uhalisia au kutafuta habari sahihi. ngoja tusubiri kusoma content ya habari yote ndio tuone nini kinaelezwa hasa
 
Back
Top Bottom