hahahahahaaaa watanganyika mmekuwa na hasira kweli awamu hii,hongera kwa kondakta wa kolomije d bashite kwa kubadilisha nchi nzima kisaikolojia ,sasa hivi ni visasi na ubabe tuKwani ata kizaz anacho?
Hilo neno tu 'vyuma vimekaza' huwezilitumia kufungua shtaka!😀😀😀😀View attachment 702287
Baada ya bwana Musiba kutaja hadi watanzania wanaotumika na FBI, leo nimepata data za jinsi baadhi ya waandishi wa gazeti hilo hapo juu wanavyotumika na Mossad ya Israel ili kutufitinisha watanzania, maana tunavyoishi kwa upendo na amani iliyotaamalaki kila kona katika awamu hii tukufu ya tano imekuwa ni nongwa kwa mahasidi
Issue ilianza pale Tanzania ilipopiga kura kupinga Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel sasa jamaa wa Mossad wametafuta vibaraka wao na unaona mwenyewe heading hiyo?
Kwanza si ilishakatazwa kusema hilo neno la vyuma vimekaza? Mambo ni mazuri bana, washtakiwe kwa ile sheria ya takwimu, ni hatari sana watu hawa.
Wamekatazwa na Mungu wasiuane lakini bado wanauana.Kwanza si ilishakatazwa kusema hilo neno la vyuma vimekaza? Mambo ni mazuri bana, washtakiwe kwa ile sheria ya takwimu, ni hatari sana watu hawa.
Hiki kipindi na jinsi mambo yalivyo currently watu wako very tense sio rahisi kusense a 'mocking thread', we ukipost tu tayari unawekwa aidha kushoto au kulia hakuna atayetake time kufikiria reciprocally/abstractly isipokuwa kwa yule tu ambaye alishawahisoma thread zako nyingi😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 aisee hapa hakuna great thinkers kabisa, you cant even read between the lines,mnajua maana ya sarcasm???hopeless kabisa'
😀😀😀 kigwa ni entertainer aiseeeeHiki kipindi na jinsi mambo yalivyo currently watu wako very tense sio rahisi kusense a 'mocking thread', we ukipost tu tayari unawekwa aidha kushoto au kulia hakuna atayetake time kufikiria reciprocally/abstractly isipokuwa kwa yule tu ambaye alishawahisoma thread zako nyingi😀😀😀😀😀😀
pole!..mimi bado naikumbuka ile post ya Amiri jeshi mkuu akikakua majeshi yake ..Kigw😀😀😀😀😀