magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,337
Wanabodi,
Salaam;
Jana ktk hotuba yake wakati akihutubia Taifa(bila kusoma) kupitia wazee wa Dar. Rais wa awamu ya 5 John Joseph pombe Magufuli. Alishindwa kujizuia na kujikuta akilimwagia sifa Gazeti linalomilikiwa na watu binafsi,gazeti la Jamhuri.
Sipendi kurudia aliyosema,lkn nawaasa wamiliki na waandishi wa gazeti hilo akiwemo member mwenzetu Manyerere Jackton wakaze buti kwa sababu wamepata kiki kubwa! Naamini kuanzia leo,gazeti hilo limeongeza mauzo zaidi kulinganisha na wakati mwingine.
Hii ni changamoto pia kwa magazeti mengine. Rais ameonyesha yupo karibu na wanahabari lkn hapendi uandishi wa kujipendekeza. Kuna magazeti inabidi yajitathimini km kweli yataendana na hii kasi ya sasa ya kuandika habari muhimu. Magazeti km uhuru,mzalendo nk. Huenda kauli ya jana ya Rais ilikuwa na lengo la kuyafuta haya magazeti. Leo sidhani km wameuza hata nakala 100!
Nawasilisha.