Gazeti la jambo leo na udharirishaji wa raia

DON KILLUMINATI

Senior Member
Jan 2, 2011
193
83
Gazeti la jambo leo toleo la leo tar 11 feb. 2011, ukurasa wa mbele kabisa kuna picha ya mtu mmoja ambaye kwa mujibu wao wanasema jina lake halikuweza kupatikana. Kapigwa picha inayoonesha mapengo, halafu juu ya picha hiyo wameandika meno mawili mshwaki wa nini? Huu ni udharirishaji na huyu mtu kama anaweza alifungulie mashtaka na kudai fidia.
 
Jambo leo ni Gazeti la mateja.
 
Back
Top Bottom