Gazeti: 'CHADEMA yanuka damu'

Gazeti: 'CHADEMA yanuka damu'

COARTEM

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
3,617
Reaction score
3,680
Gazeti hili linamaanisha nini? Viongozi wa Chadema mko wapi kutolea ufafanuzi wa kashfa nzito kama hii.?

DSC_0049_ffb6d.JPG
MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAR 18.12.2013 VICHWA VIKUBWA CHADEMA CHADEMA YANUKA DAMU,MAWAZIRI MATUMBO JOTO NA SLAA:JK DHAIFU. ~ dj sek
 
Wamelikoroga CDM wanalinywa japo kimnya kinmya............
 
mizigo wanaanzisha magazeto ya kuwasaidia kuwalinada
 
Hahahahaa waandishi wasahaulifu, si mtanzania ilifungiwa kwa kuandika "serikali yanuka damu"
 
...sijawahi kununua hii takataka,na wanaonunua ninamashaka na uelewa wao wa kiakili....
 
"Serikali yanuka damu" Mtanzania likafungiwa kwa uchochezi,

"Chadema yanuka damu" Serikali inachekelea uchochezi.

Ila tutafika tu destination zero.
 
aiseeeee babayangu magamba kazi mnayo kutushusha cdm kazi ipo
 
Si kila jambo ni la kujibu. Maana wakati mwingine kukaa kimya ni bora kuliko kufungua kinywa kwa mambo yasiyo na msingi.
 
Nguvu kubwa wanayotumia ccm kuivuruga chadema ingetumika kuwapa maendeleo watanzania ccm ingeishi kwa raha sana,
Wewe nguvu na muda ambao unapoteza humu JF kuitukana CCM na kudanganya watu ungeitumia kutafuta pesa ungekuwa mbali sana.
 
Wewe nguvu na muda ambao unapoteza humu JF kuitukana CCM na kudanganya watu ungeitumia kutafuta pesa ungekuwa mbali sana.

Au angetumia muda huo kumtafuta baba yake mzazi, at least angekuwa na ubin wenye nasaba naye.
 
Back
Top Bottom