and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,116
- Thread starter
- #21
Wabillah Tawfiq
kwà jina la Yesu tokaaaaaaaaa!Pepo toka...
Kabisa na matangazo ya kubeti na muziki yawepo.Gazeti Huru lililojaa hikma na elimu Kwa kizazi hiki na kijacho ligaiwe bure MASHULENI, airport na stendi za mabasi.