Comrade naunga mkono hoja hii kwa asilimia mia moja,
Management ya shule zao ni hafifu kabisa wanashinda wanazurura tu mijini na mitaani kwa nini wasifeli?
wamekurupuka hwa jamaa kulalamika sana ni ishara ya udhaifu,na woga
Kwa kusema pasipo na uthibitisho wa kitafiti kuwa:
- Baraza la Mitihani linafelisha Makusudi Waislamu na Shule Zao
- Vitengo nyeti wapo wakristu wakereketwa (Maana yake vyeo viangalie dini badala ya Competency)
Sioni kama kuna mantiki yoyote kwenye malalamiko haya.
tatizo la hawa ndugu zetu ilmu hakuna..tuwaulumieni.
usiwatupie watu lawama wakati nyinyi ndiyo mlioshiriki kikamilifu kuirudisha ccm na serikali yake madarakani 2010 kwa sababu rais ni kikwete/muislam...Taasisi zote Wizara zote Tanzania, watendaji wote ni Wakiristo, Taifa limeingia mikataba ya kijinga na kipuuzi na wasomi wa Kikiristo katika migodi yetu, sasa mkuu wangu tunakubali kabisa Wakiristo ni wasomi je unaweza kutufahamisha huo usomi wenu wakuu umelisaidiaje taifa letu?
ha haa haaa huwa nacheka sana aisee! kuna watu Tanzania wanajifanya wasomi wakati hakuna kitu..
Mkuu ebu tusaidie huo usomi wenu unaojitapa nao umelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye ndimbwi la umasikini duniani?
Hivi Tanzania nako kuna wasomi?
ha haa haaa huwa nacheka sana aisee! kuna watu Tanzania wanajifanya wasomi wakati hakuna kitu..
Mkuu ebu tusaidie huo usomi wenu unaojitapa nao umelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye ndimbwi la umasikini duniani?
Hivi Tanzania nako kuna wasomi?
Sheikh wa msikiti hawezi kuwa Doctor wa kutibu watu. Uchawi sio mpaka uwange.