Jana kulikuwa na mkutano wa wanahisa wa CRDB kule Arusha na katika agenda ya gawio kwa wanahisa waliazimia kuwa kila hisa moja watatoa gawio la Tshs.36. Binafsi kama mwanahisa sijaridhika na gawio la Tshs.36 kwa hisa mpaka nipate majibu kwa yafuatayo:-
(1) Ni vigezo gani mliotumia kufikia kiasi hicho cha Tshs.36 kwa hisa?.
(2) Mbona Benki kama NMB ambayo kwa uwezo hazitofatiani wanatoa gawio zaidi ya Tshs.100 kwa hisa?.
Wajue kuwa kama mwanahisa kwa kweli gawio wanayotoa wanapunja sana wanahisa huku Wakurugenzi na Viongozi wakuu wa Benki wakilipwa marupurupu na fedha nyingi.
In short mnapewa kilichobaki baada ya wao kutoshekaWenye hisa tuna haki ya kuuliza kwanini gawio lao ni kiduchu namna hiyo huku wakurugenzi wa hiyo benki wanapata mafao makubwa!!
Kwa maana hiyo aliyewekeza milioni mbili kwa mwaka mzima ameambulia laki na kitu?Kwa bei ya leoView attachment 2236240
Possible, lakini Inategemea wakati ananunua bei ya hisa ilikua sh ngapi, km ilikua chini sana maana yake idadi ya hisa ilikua kubwa. Pia ktk hisa tuna faida za aina mbili, mosi ni ile inayotokana na gawio unalopata na pili ni ile inayotokana na kuongezeka kwa bei ya hisa (capital gain), mfano uliponunua hisa bei ilikua sh. 200 kwa hisa afu Leo inauzwa sh. 300 so kila hisa una faida ya sh. 100Kwa maana hiyo aliyewekeza milioni mbili kwa mwaka mzima ameambulia laki na kitu?
Mwenye nia ya kuelewa, ameelewa.Hisa za CRDB leo zinauzwaTsh. 436,NMB 3,000.Gawio la CRDB Ni Tsh. 36,Gawio la Nmb Tsh.100
Kwa lugha rahisi Tutafute' return/share:'
Kwa CRDB:36/436×100%=8.26%
Kwa NMB:100/3,000×100%=3.33%
Bado CRDB imerudisha return nzuri zaidi kulinganisha na NMB, provided that other factors are kept constant.
Nimetumia lugha ya ki-layman zaidi watu waelewe,haina haja kufikia huko kwny Ma DPS,EPS etc lkn inshort analysis ya maana itafanyika pale ambapo utakua na Financial Statements za Co. zote 2.
Dividend Payout Ratio ya NMB Ni 21.1%
Dividend Payout Ratio ya CRDB Ni 29.8%
Hii maana yake company's earnings after tax zinazolipwa kwenda kwa shareholder bado CRDB iko juu ya NMB.
Khs kwenda Paperless Naunga mkono hoja kwa 100%.
Lakini CRDB wana yao wanaita Mzigo fasta nadhani wao wanatoa 9% per annum. Huoni kuwa wako juu pia by 5%
Dividend Payout Ratio ya NMB Ni 21.1%
Dividend Payout Ratio ya CRDB Ni 29.8%
Hii maana yake company's earnings after tax zinazolipwa kwenda kwa shareholder bado CRDB iko juu ya NMB.
Khs kwenda Paperless Naunga mkono hoja kwa 100%.
[emoji12]Hela zinaenda kufanya sherehe na mambo mbali mbali , nafikiri afadhali sherehe zisifanyike wanahisa wapate gawio zuri. Ni maoni yangu tu .!!Jana kulikuwa na mkutano wa wanahisa wa CRDB kule Arusha na katika agenda ya gawio kwa wanahisa waliazimia kuwa kila hisa moja watatoa gawio la Tshs.36. Binafsi kama mwanahisa sijaridhika na gawio la Tshs.36 kwa hisa mpaka nipate majibu kwa yafuatayo:-
(1) Ni vigezo gani mliotumia kufikia kiasi hicho cha Tshs.36 kwa hisa?.
(2) Mbona Benki kama NMB ambayo kwa uwezo hazitofatiani wanatoa gawio zaidi ya Tshs.100 kwa hisa?.
Wajue kuwa kama mwanahisa kwa kweli gawio wanayotoa wanapunja sana wanahisa huku Wakurugenzi na Viongozi wakuu wa Benki wakilipwa marupurupu na fedha nyingi.
Kwahiyo Nmb wapo vzr zaidi ya CRDB?Kwa bei ya leoView attachment 2236240
Naomba utupe Elimu hapo.NMB na wao wameanzisha jasiri bond fund ambayo nayo wanatoa 8.5% per annum ambayo ni nzuri kuliko. Kupanga ni kuchagua ipi ni bora zaidi.
DCB je anayejua magawio yake yakoje? Asante sana.Tatizo hizi mambo za hisa Makampuni hua hayatoi elimu ya kina khs Hizo mambo za Dividend etc lkn siwalaumu Sana lugha ya Fedha sio kila mtu anaweza kuielewa.
Naona hii Jasiri Bond wanaitangaza Sana kwny media,Nimeona Kuna mtu alisema Kule UTT Kuna scheme return yake kwa mwaka Ni 13%,Ila sijafuatilia vzr mkuu.
Nakumbuka mwaka 2015 hisa za CRDB zilikuwa zikiuzwa 410, Magufuli alipoingia zikashuka kwa kasi ya 4GHaya mambo sema tu watu wamekuja kuyafaham too late. Three years back 2019, bei ya hisa za Crdb ilikuwa sh 100. Huu ndio ulikuwa wakati wa kununua. Ambayo kwa sasa mtu angekuwa na 36/100 which is 36%. Investment is all about timing.View attachment 2236331
Jana kulikuwa na mkutano wa wanahisa wa CRDB kule Arusha na katika agenda ya gawio kwa wanahisa waliazimia kuwa kila hisa moja watatoa gawio la Tshs.36. Binafsi kama mwanahisa sijaridhika na gawio la Tshs.36 kwa hisa mpaka nipate majibu kwa yafuatayo:-
(1) Ni vigezo gani mliotumia kufikia kiasi hicho cha Tshs.36 kwa hisa?.
(2) Mbona Benki kama NMB ambayo kwa uwezo hazitofatiani wanatoa gawio zaidi ya Tshs.100 kwa hisa?.
Wajue kuwa kama mwanahisa kwa kweli gawio wanayotoa wanapunja sana wanahisa huku Wakurugenzi na Viongozi wakuu wa Benki wakilipwa marupurupu na fedha nyingi.
jamaa kaweka ka laki tano kake akitegemea millions ha ha ha hah wanaofaidika ni wakina sumaye walioweka ma bilioniHisa za CRDB leo zinauzwaTsh. 436,NMB 3,000.Gawio la CRDB Ni Tsh. 36,Gawio la Nmb Tsh.100
Kwa lugha rahisi Tutafute' return/share:'
Kwa CRDB:36/436×100%=8.26%
Kwa NMB:100/3,000×100%=3.33%
Bado CRDB imerudisha return nzuri zaidi kulinganisha na NMB, provided that other factors are kept constant.
Nimetumia lugha ya ki-layman zaidi watu waelewe,haina haja kufikia huko kwny Ma DPS,EPS etc lkn inshort analysis ya maana itafanyika pale ambapo utakua na Financial Statements za Co. zote 2.
kumbe mucoba wana bei nzuri hivi wacha nikirudi niendeKwa bei ya leoView attachment 2236240
Hata mimi kichwa maji nimeelewaHisa za CRDB leo zinauzwaTsh. 436,NMB 3,000.Gawio la CRDB Ni Tsh. 36,Gawio la Nmb Tsh.100
Kwa lugha rahisi Tutafute' return/share:'
Kwa CRDB:36/436×100%=8.26%
Kwa NMB:100/3,000×100%=3.33%
Bado CRDB imerudisha return nzuri zaidi kulinganisha na NMB, provided that other factors are kept constant.
Nimetumia lugha ya ki-layman zaidi watu waelewe,haina haja kufikia huko kwny Ma DPS,EPS etc lkn inshort analysis ya maana itafanyika pale ambapo utakua na Financial Statements za Co. zote 2.
Kwahio ndio kusema huwezi kujiongeza kuwa hio 5% inawasilisha 0.5% mzeeKweli hiyo? Kwamba 9%-8.5% = 5%?
[emoji12]Hela zinaenda kufanya sherehe na mambo mbali mbali , nafikiri afadhali sherehe zisifanyike wanahisa wapate gawio zuri. Ni maoni yangu tu .!!