Hilo gawio liko poa Sana ukilinganisha na bei ya kila hisa,hisa moja ya Crdb kwasasa ni kama 770,ukilinganisha na makampuni mengine kwa kuchukua bei ya hisa gawanya gawio utaona Crdb ni the best kwa Sasa.
mfano
Tbl 10400/530=19
Tcc 16200/670=24
Crdb 780/65=12
Hii inamaanisha
Ukiwekeza Tbl itakuchukua miaka 19 ku break even,Tcc itakuchukua miaka 24 na Crdb itakuchukua miaka 12(hii ikiwa utalipwa once a year na at the same amount)
Hii ndio sababu kwanini hisa za Crdb ndio top mover kwasasa na hakuna hata anayemkaribia kwa karibu.