Gavana BoT: Baada ya Arusha sasa ni Dar, hakuna haja ya kuwa na Bureau de change zaidi ya 100

Jana wamefanya ukaguzi sana Kariakoo,walinikutia nabadilisha tumadafu twangu ..mhudumu ana vibrate tu,nchi hii serikali ya CCM mnatutaka nini lakini leseni mtoe wenyewe kisha mnaanza kuwasumbua watu.
 
Back
Top Bottom