Gavana wa Benki Kuu Tanzania ashinda tuzo ya Kimataifa

John Haramba

JF-Expert Member
Feb 4, 2022
365
1,373
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Prof. Florens Luoga ambaye pia ni kiongozi wa Jumuiya ya Kimataifa ya Huduma Jumuishi za Kifedha (AFI), ametunukiwa tuzo “Central Banker of the Year” ya 2021”, inayotolewa na The Banker Magazine, kampuni tanzu ya Gazeti la Financial Times, kutokana na jitihada zake za kuimarisha uchumi katikati ya janga la UVIKO-19.

Gavana Luoga, ambaye ni mwenyekiti wa Taasisi ya Mipango ya Kisera ya Huduma Jumuishi za Kifedha Kanda ya Afrika (AfPI) ameshinda tuzo hiyo kutokana na jitihada zake za kupiga vita utolewaji wa mikopo kiholela na mpango aliyotangaza mwezi Novemba, mwaka jana kuangalia uwezekano wa kuwa na fedha ya kidijitali inyotolewa na
Benki Kuu (Central Bank Digital Currency - CBDC).

FLkK2hlWYAczL2h.jpg
 
Kama hajafanya kitu cha maana kurahisisha POS kama vile kuruhusu PayPal, bado atakua useless
 
Back
Top Bottom