Gavana mpya wa Benki Kuu, Prof Florens Luoga ameanza kazi rasmi leo

Uteuzi wa huyu Gavana una ukakasi aisee, maana Ana shahada tatu tu(LLB,LLM na pHD in Taxation law) katika vyeti vyake vyote kibaya zaidi degree ya pili napo alipigilia msumari sheria. Ya tatu nayo ni specialization ya sheria (pHD in Taxation law), bado nawaza hivi kweli mwanasheria kuanzia degree ya kwanza mpaka ya mwisho anapewa ugavana Benki kuu?

Ni ubishi wa mkuu wetu wa kaya ama nini kilicho nyuma ya pazia?
 
Back
Top Bottom