Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 10,725 Reaction score 19,568 Dec 17, 2025 #21 new forest said: Mm Niko mbeya mkuu. Sema sifahamu kama hiyo huduma inatolewa na Mamlaka ya maji au jiji Click to expand... Mimi mwenyewe sipo Dar ila Mamlaka ya Maji ya mji huu ina huduma hii na inasemekana ni cheaper kuliko kampuni za watu.
new forest said: Mm Niko mbeya mkuu. Sema sifahamu kama hiyo huduma inatolewa na Mamlaka ya maji au jiji Click to expand... Mimi mwenyewe sipo Dar ila Mamlaka ya Maji ya mji huu ina huduma hii na inasemekana ni cheaper kuliko kampuni za watu.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 116,367 Reaction score 188,067 Dec 17, 2025 #22 RRONDO said: This is uncalled for! Mkuu mbona unaleta taharuki Click to expand... Ni kweliii
Gunst JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 3,168 Reaction score 6,121 Dec 17, 2025 #24 Hii huduma inapatikana Idara ya Maji, mwanzoni mwaka 2025 kwa mijini bei ilikuwa ths.72,500, sijui kama kuna mabadiliko kwa sasa
Hii huduma inapatikana Idara ya Maji, mwanzoni mwaka 2025 kwa mijini bei ilikuwa ths.72,500, sijui kama kuna mabadiliko kwa sasa
Joshua Mbezi JF-Expert Member Joined Oct 18, 2024 Posts 1,912 Reaction score 4,117 Dec 17, 2025 #25 Nenda ofisi za mamlaka ya maji ndo wamiliki
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 15,582 Reaction score 22,463 Dec 17, 2025 #26 new forest said: Mm Niko mbeya mkuu. Sema sifahamu kama hiyo huduma inatolewa na Mamlaka ya maji au jiji Click to expand... Mara nyingi ni idara za maji pamoja na watu binafsi.
new forest said: Mm Niko mbeya mkuu. Sema sifahamu kama hiyo huduma inatolewa na Mamlaka ya maji au jiji Click to expand... Mara nyingi ni idara za maji pamoja na watu binafsi.