Hahaha we jamaa bhana... Bajaji na AC wapi na wapi? Ngoja watakapoleta Vitara ya shemeji yako tuone. This time Mamsera with Vitara with love with Sky Eclat with mimba
Hahaha we jamaa bhana... Bajaji na AC wapi na wapi? Ngoja watakapoleta Vitara ya shemeji yako tuone. This time Mamsera with Vitara with love with Sky Eclat with mimba
Mmh kama na hii hujui tafuta ndg yako unaemwamini hata babayako muombe akutafutie IST nzuri ya CC 1290 hutojutia. La sivyo utapigwa na matapeli, umeskia ile stori ya yule mzee mstaafu morogoro?? Hahah
Ila Toyota walipounda haya magari sijui walikuwa wanawaza nini..?
Toyota Will
Toyota Porte..
Toyota fun cargo..
Hata vitz old model jamani kwa hapa nyuma ina muomekano no mbayaaa....yaani utafikiri jogoo ambaye hana mkia..
Nadhani wale body designers wa toyota walikuwa wamechoka sana
ndio designer wao sijui walikuwa wanalewa kwanza ndio wachore miundo ya magari maana magari madogo mengi ya 2003-2007 yamekaa kama vikatuni. 2011-2015 wakahamia kwenye makubwa na kuyavurunda haswa
Kwa ujumla Toyota na Nissan kwa upande wa body designing bado wanajifunza....magari yao hayana muoneka wa kibabe....body zao nyingi zimekaa kimayai mayai sana
Japanese cars mimi naona Mazda na Mitsubish wanajitahidi sana kwa upande wa body designing.