Gari za biashara zinauzwa Mbeya

Gari za biashara zinauzwa Mbeya

Bufa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
14,232
Reaction score
30,492
Habari wakuu!

Gari mbili za biashara FUSO na COASTER yanauzwa jijini Mbeya. Gari zote ziko katika hali nzuri, bei ni maelewano tu. Kwa maelezo zaidi nitumie PM au nicheck kwa hii email "gujomba@gmail.com". Ukipata ujumbe huu mjulishe na jirani yako.
 
Fuso aina gani? Natafuta fuso tipper ya engine D16! Hakuna haja ya kwenda pm ama email kwani siri ni nini? Weka hadharani
 
Back
Top Bottom