Habari wataalam, polen sana kwa kuumiza vichwa kuakikisha mnatoa msaada kwa matatizo ambayo yanatukumba madereva, mungu atakulipeni.
mi nna shida moja, gari yangu ni raum, mwanzo ilikua ukifunga mlango wa kuchoto kuna loki inajiingiza ambayo ni tofauti na ile ya kawaida katika kitasa, lakini sasa haijiingizi tena na inalia alarm katika dashbody pia inajionesha alama ya milango kuwa wazi, naomba msaada niifanyeje kufix?