Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,045
- 15,378
Wakuu habari za jioni. Hongereni na pasaka
Namiliki Gari Toyota Rav 4 A.K.A Miss Tz Ndugu yake na Vanguard ya 2005
Nilipata Shida ya pump kufa toka hapo hii gari imekua changamoto kwangu simply nimeichukia sana natamani hata ninunue ka premio ka kusogeza siku
Nimeshanunua pampu kama mbili nazo zinakufa, Wakati mwingine kwenye safari ndefu inapata moto hadi inabidi nipumzishe gari ndio liwake
Pia gari ikitoka kutembea nikizima, kuiwasha muda huohuo ni mbinde,
Pia hawa mafundi wamechokonoa hadi fuel gauge, hadi mafuta yanaisha lakini bado gauge ipo juu Simply ni kuwa gari haiwashi taa ya mafuta hadi inanizimikia naanza kuangaika na vidumu.
Naombeni ushauri wa kiufundi hasa kumpata fundi mzuri aliepo Arusha aweze kunisaidia hii shida.
Wasalam